Kenyans Starting To celebrate Their Music

I know them all and their songs. Also I know that you don't know any Kenyan musician. Nilikuwa nataka yule wa YouTube views aliyekuwa anasema songs za Kenya ziko na 1k views which are only watched by kibera people.
First forget about mercy masika.
Search kibali by Florence andenyi.
You can bring the screenshot and don't forget to screenshot any gospel from the likes of shusho Solomon and muhando which were uploaded from 2011uptodate ndio mniringie na views
Pole sana, mimi nimetoa views zangu na sijaja kubishana hapa...

The fact is hao waimbaji wenu kama size 8, kambua, janeth otieno, bahati and the likes wala hawana coverage kubwa sana.. nimemuongelea Mercy maana ndio mkubwa japo naupenda wimbo wa alice kimanzi -holly spirit cover song lakini si sababu tosha ya kumuweka juu...

Ukija katika secular music ndo kabisaa game imeshuka.. ukitoa Nyashiski, sauti sol na labda khaligraph ..waliobaki wanajaribu

Mna waimbaji wazuri tu kama sanaipei lakini sijui wanakwama wapi

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Mziki wa kenya ulikuwa juu miaka ya nyuma wakajisahau mziki sabahu kenya walishafika sehem had huku bongo ilikuwa ukienda kufanya collabo Kenya au ukienda ukafanya ngoma kenya au video unaonanekana umepiga hatua kubwa sana kumuzik sijui nini kulitokea wakajisahau hawakutaka kutanua mziki wao tena, wabongi tukakomaa had tumejikuta wapinza wetu kwenye mziki sio Kenya tena bali ni Ningeria na south africa na na bado tukaenda kufanya nao ngoma had sasa wao wanaomba collabo na sisi tizama wanamziki wa kibongo sasa wanaofanya ngoma na wanageria...kwa sasa kenya sio mshindan tena ni sehem ya soko la mziki wetu..

Jambo kubwa la kushukuru ni kuwa mziki wetu umefika kwenye nchi ambazo hazizungumzi kigereza wala kiswahili kama angola na mozambique na hata madagscar na watu wanapiga show full...sasa mziki wa kenya niambue umepenya nchi gan zaid ya Tanzania na ipi ni Identinty ya mziki wa Kenya...!..you might be a sleeping giant but at this point your underdogs to us by far.!
hii post wakenya wakiona watajificha
 
Nani hajui kwamba mlimroga mwenzio. Ushirikina ndio mnajua sana. Hilo hatuwezi washinda. Hata sisi hatungemjua angel bila Mercy

Mziki wa kenya ulikuwa juu miaka ya nyuma wakajisahau mziki sabahu kenya walishafika sehem had huku bongo ilikuwa ukienda kufanya collabo Kenya au ukienda ukafanya ngoma kenya au video unaonanekana umepiga hatua kubwa sana kumuzik sijui nini kulitokea wakajisahau hawakutaka kutanua mziki wao tena, wabongi tukakomaa had tumejikuta wapinza wetu kwenye mziki sio Kenya tena bali ni Ningeria na south africa na na bado tukaenda kufanya nao ngoma had sasa wao wanaomba collabo na sisi tizama wanamziki wa kibongo sasa wanaofanya ngoma na wanageria...kwa sasa kenya sio mshindan tena ni sehem ya soko la mziki wetu..

Jambo kubwa la kushukuru ni kuwa mziki wetu umefika kwenye nchi ambazo hazizungumzi kigereza wala kiswahili kama angola na mozambique na hata madagscar na watu wanapiga show full...sasa mziki wa kenya niambue umepenya nchi gan zaid ya Tanzania na ipi ni Identinty ya mziki wa Kenya...!..you might be a sleeping giant but at this point your underdogs to us by far.!
 
Pole sana, mimi nimetoa views zangu na sijaja kubishana hapa...

The fact is hao waimbaji wenu kama size 8, kambua, janeth otieno, bahati and the likes wala hawana coverage kubwa sana.. nimemuongelea Mercy maana ndio mkubwa japo naupenda wimbo wa alice kimanzi -holly spirit cover song lakini si sababu tosha ya kumuweka juu...

Ukija katika secular music ndo kabisaa game imeshuka.. ukitoa Nyashiski, sauti sol na labda khaligraph ..waliobaki wanajaribu

Mna waimbaji wazuri tu kama sanaipei lakini sijui wanakwama wapi

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
Sio eti wanakwama. It is lack of support from Kenyans.
Mimi ni teamgospel. Secular najua mpo mbele.bongo flavas zinapendwa sana Kenya.
But believe me when it comes to gospel hatupendelei upande mmoja kama wenzako wanavyosema. Wnadhania gospel tunaskiza za tz pekee. We love gospel songs kutoka nchi mbalimbali.
 
Otile anapendwa tu kwa sababu ana swag za kibongo, anaimba kwa Kiswahili ila kipaji zero, angekuwa bongo bado angekuwa underground. Nyashinski na Sauti Sol wanajua, wakikaza zaidi ndio wana uwezo wa kuipindua WCB team.
kwa hapa bongo otile level yake labda homorapa.
 
Hivi ikitangazwa kwamba wazungumzaji wazuri wa Kiingereza watoke mbele, hivi nyie Wakenya mtatoka?
wamebaki kujivunia kuzungumza kingereza ilhali wachina waliowajengea SGR wamechukua ajira zote muhimu kwenye mradi wao wa madaraka express na huku wachina hao hata kuunda sentensi mbili tu za kingereza hawajui.

wakenya wamebaki kulalamika kule twitter bila impact yoyote....hapo ndio huwa nawadharau wakenya.
 
Back
Top Bottom