Recent content by Sir Good

  1. Sir Good

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Kwa mfano, unamtoaje Mkuu wa mkoa kwenye hii dhahama?
  2. Sir Good

    Teksi ndege isiokuwa na rubani yazinduliwa Dubai

    hongera zao kwa kupiga hatua kiteknolojia, sisi tunaendelea na zoezi letu la kupima mikojo ili kuwabaini wapinga maendeleo na wachochezi.
  3. Sir Good

    Ufafanuzi wa kina juu ya (vyeti) elimu ya Makonda

    eti wazazi wanapaswa wamshukuru makonda kwa kuokoa maisha ya watoto wao waliokuwa wanasoma Chuo Cha Ushirika, Moshi!?!
  4. Sir Good

    Mwenye mashairi ya wimbo huu!

    Mkuu xenon, unajuwa huu wimbo una mashairi mazuri sana tena yenye kuifunza jamii tofaut na nyimbo za sasa za bongofleva. Naomba nikumbushe jina la mtunzi na aliyeimba huu wimbo mtamu usiyokinaisha masikioni ili na mimi nikautafute.
  5. Sir Good

    Mwenye mashairi ya wimbo huu!

    Hahahah hapana mkuu Galapagosi, huu wimbo nimeupenda kutokana na kisa cha huyo ambaye alimfukuza mpenzi wake baada ya bint mmoja mdogo kutoka kijijini kwao kufoji barua ambayo alimletea jamaa hiyo ilimtaka jamaa amchukue huyo bint kama mkewe...
  6. Sir Good

    Mwenye mashairi ya wimbo huu!

    Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii, moyo wangu unauma nafsi yangu inajuta mamaa...
  7. Sir Good

    Sheria zinasemaje Clouds partnering with RockstarTV ambayo Ali Kiba ni shareholder? Je hakuna upendeleo?

    Njoo private nitakufafanulia kila kitu kuhusu hayo mambo unayotaka kujua ila kama wewe ni mwanaume sharti langu uje ukiwa umevaa wigi, kama ni bint uje kama ulivyo. Ahsante.
  8. Sir Good

    Usalama katika ndege: Anayekaa karibu na mlango wa dharura anatakiwa kujua kiingereza

    Mi nadhani njia rahis ilikuwa wakati wa kumpa abiria namba ya siti ndiyo ulikuwa wakati muafaka wa kumsaili abiria atayekwenda kukaa kwenye hiyo siti. Hayo mambo ya kwenda kuulizana ndani ya ndege huko ni kusumbuana tu.
  9. Sir Good

    Mwalimu jela miaka 3 kisa ufisadi

    vp alilipa faini au alienda jela? adhabu kama hizi ziliwafaa akina chenge na wenzake ingawa ni ndogo ila na wao wapate dispilin.
  10. Sir Good

    Usishangae;Fans wa Diamond walikuwa blood Fans wa Alikiba

    Hakupendwa Yesu, pamoja na mazuri yote aliyoyafanya hapa duniani na bado watu wakamsurubu na kumtundika juu kama nyama buchani sembuse huyo bwana wako Almas. Kila mtu ana uchaguz wake nini cha kupenda na nini cha kukichukia usifos wote tumpende yeye.
  11. Sir Good

    Zilipendwa Ni Fire

    Subiri watoto wenzio waje mjadili utoto wenu.
  12. Sir Good

    Ole wao wanaotazama sex (chonda)

    Mi hiyo kitu imeniathili sana na hata sijui nifanyeje ili niache, halafu napenda zaidi kuangaliaga shemales wenye matako makubwa wakibanjuliwa!
Back
Top Bottom