Wenye tafakuri nzuri watajua Jambo leo ni wazushi haijalishi ni watu dini gani, na hao ndo tunaowitaji katika kipindi hiki.
(WATU WENYE KUTAFAKARI KWA MANTIKI NA SIO MSUKUMO WA UDINI)
We unazungumzia Wameru wa miaka gani? Nafikiri ungesoma alama za nyakati.Wameru wa miaka unayozungumzia hata kuoana walikua hawaoani na makabila memgine waliwaita nyamwesi au idoko.Lakini sio Wameru wa leo wanajua maana ya mawazo mapya na wajibu wao kama watanzania na sio kama wameru.ACHA...
Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya airtel money namba zilezile cha ajabu baada ya kuangalia salio langu nakuta sh.800 ambavyo sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.