Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au?

selopheady

Member
Nov 29, 2011
27
2
Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya airtel money namba zilezile cha ajabu baada ya kuangalia salio langu nakuta sh.800 ambavyo sijawahi kuweka pesa. Na vilevile zile pesa nilizotumiwa hazionekani kila nikiwapigia wanatoa visingizio vya mtandao unasumbua yapata mwezi na siku kadhaa sasa.HEBU WANA JF nipeni ushairi au wazo.
 
Mkuu jukwaa hili ni la MAPOKEZI NA UTAMBULUSHO....Anyway Pole sana....
Nenda ofisini kwa watakusaidia ni mambo ya kawaida kwa sysytem nyingi.
 
Back
Top Bottom