Recent content by Satoh Hirosh

  1. Satoh Hirosh

    Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Kwa kiufupi hiyo ni gari kinyonga namba plate inabadilika kutokana na misheni. Kuna jamaa huko juu kasema ya wang'oa kucha.
  2. Satoh Hirosh

    Tafuta hela, Kariakoo majengo yanaota kama uyoga

    Kwa maghorofa,jamaa Yuko sahihi. Kariakoo inavunjwa sana na kujengwa maghorofa mapya ya kisasa. Ila kuhusu "Hela ipo ya kutosha,hali ya uchumi imeimarika nchini" hapo namkatalia mleta mada. Naamini ipo sababu ya ngingine ya ziada kwa viberiti vinavyooteshwa kariakoo.
  3. Satoh Hirosh

    Nimegundua wale watu ambao hawanywi pombe ndio wanafiki, wachawi na wambea

    Siyo umbea wa walevi unaishia bar? Unegeuza sentensi shetani.
  4. Satoh Hirosh

    Kingereza kufundishwa kuanzia Darasa la Kwanza

    Waajiri walimu special kwa ajili ya kingereza kutoka Uganda na Zimbabwe kama Wana nia ya wanafunzi wake kingereza kweli. Vinginevyo tutazidi kutwanga maji kwenye kinu.
  5. Satoh Hirosh

    Microsoft Excel Short Course

    Laki 6 alafu Mafunzo siku kumi,wanafunzi wataelewa kweli? Mnatumia mbinu gani mtu aweze kushika vyote hivyo ndani ya siku chache na akatoka Yuko vizuri na cheti akapata?
  6. Satoh Hirosh

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Mkuu,mbona unatetea sana? Au unauza supu alafu nyama unatoka nayo vingunguti nini?
  7. Satoh Hirosh

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Buguruni vitu vya shambani bei rahisi sana,na panawafaa vijana majobless wanaojitafuta Unakuta nyanya au ndizi zimepangwa fungi utadhani muuzaji anataka kumaliza fasta ili aondoke,kumbe ndiyo wanavyopanga. Na Biashara hadi usiku. Asubuhi mapema Ukiwa na buku mbili unaibukia vinginguti unarudi...
  8. Satoh Hirosh

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Mkuu, Kuwa makini na supu za buguruni, pamoja na nyama ya mbuzi ambayo huoni kichwa wala mkia wa mbuzi. Ile unauliza nyama Gani unajibiwa tu, hii ni nyama ya mbuzi!! Utakula nyama zisizoeleweka kutoka vingunguti hapo. Ng'ombe washajifia hawaachwi Bure Bure.
  9. Satoh Hirosh

    Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Vijana wa hovyo mnawaza dhambi muda wote, hahaha.
  10. Satoh Hirosh

    Ukikaa mbali na jinsia ke unaokoa kibunda

    Taratibu sera za chama cha 'Kataa Ndoa ' zimeanza kueleweka na kuzidi kujizolea wafuasi. Sera zake zinazidi kupata wafuasi wengi siku hadi siku. Kichwa cha habari kingesomeka "KATAA NDOA,OKOA KIBUNDA" kama wenyewe wanavyosemaga.
  11. Satoh Hirosh

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Wazee ndiyo mna nafasi zaidi maana mnajua kuhonga. Sisi vijana tunajua kusimamia ukucha tu,kuhonga zero.
  12. Satoh Hirosh

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Tena kwa kumdharau,akapiga kimoko cha Whatsapp status video,kile cha sekunde 30 alafu akalala zake. Baharia mtu mbadi sana.
  13. Satoh Hirosh

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Huyu anachofanya hapa ni kutuliza machungu,baada ya jamaa kumuangaikia bibie kwa miaka mitatu,akapiga kitu cha Whatsapp status (sekunde 30),ametua mzigo na deni limelipwa. Mengine ni ya kujifariji.
  14. Satoh Hirosh

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Tuwe wavumilivu tu, mkuu. Hapa yeyote linaweza kumwangukia zari la mentali.
  15. Satoh Hirosh

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Kwa hiyo mwamba alikuwa kitoroli cha kuwapeleka home mkilewa Huku akisubiri foleni yake ya kuangukiwa na mzoga? Kweli mvumilivu hula mbivu kmmk.
Back
Top Bottom