Recent content by Samrati

  1. S

    Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

    eti nasikia imevuja sasa sijui kiaje.
  2. S

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    mmnh,ya ukweli haya?dai alimfanyia fitina kingkiba? mi naomba unitumie picha za show ikifanyika kakaangu.
  3. S

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    hata mimi nasubiri picha tuhapa.
  4. S

    Imevuja: Audio mpya Diamond akililia penzi la Wema

    nyimbo ya zamani sana hio.
  5. S

    Members wakongwe ambao hawajapigwa ban tukutane huku

    jukwaa la Celebrities lina BAN nyingi sana.
  6. S

    Mzee Jangala kugombea urais wa Tanzania

    kwanza nahisi anaugua.
  7. S

    Ushauri wa bure kwa Diamond

    Tumekuelewa na tunaufanyia kazi ushauri wako.
  8. S

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Uhamiaji sio jeshi ni IDARA,Polisi au afisa wa Magereza haruhusiwi kupiga saluti kwa afisa wa uhamiaji. Tuna majeshi manne tu Tanzania nayo ni;POLISI,MAGEREZA,JWTZ na JKT,huruhisiwi kupiga salute kwa afisa wa UHAMIAJI kwa maana sio jeshi bali ni IDARA MeinKempf
  9. S

    Wema acha roho mbaya

    Vipi zile million 13alizozitoa wakati ule umezisahau?ungekuwa wewe ungeweza?mwacheni jamani Wema apumzike,mwacheni afanye anavyoweza.
  10. S

    Aslay: Nitakupwelepweta hajaimbiwa Wema Sepetu

    Tulishajua kitambo.
  11. S

    Tujadili sababu za kuchuja kwa Video 2 za Diamond

    Labda hizo nyimbo zimechuja huko nyumbani kwenu,ila huku kwetu bado zinakimbiza mbaya na ndio kwanza zinaanza kudownloadiwa na kupigwa sehemu mbalimbali.
  12. S

    Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

    Hapo sasa,Nagari mwenyewe ngachooka,mi sina imani kama wema anaeza date na kombo,wenge tu la kistuli.
  13. S

    Lina Sanga na Wema Sepetu kwenye mtafaruku kisa mwanaume

    Nilidhani ni picha tu kati ya Nagari Kombo na Wema,kumbe kuna something going on!!!!sitaki kuamini hili,Wema hawezi banah kua na Nagari sema Linah tu ana mawenge yake yule dada.
Back
Top Bottom