Recent content by Samboko

  1. Samboko

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    Hii imetokea ili iwasaidie mashabiki wa simba kujifariji kidogo, maana yanga ingeshinda na jana simba ikashinda bado wangepiga kelele timu yao haichezi vizuri[emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Samboko

    Hizi hapa taasisi zilizorudisha rushwa kwa kasi ya ajabu awamu ya sita

    Rushwa ipo popote wakati wowote, tena kipindi chake ndio watu wanalikua wanapiga ela kimya kimya bila kelele yeye akiwa kinara wao, maana vyanzo vya kutoa habari vilikua vimebanwa, mtu ukitoa taarifa ya rushwa unatafutwa wewe, ukitoa taarifa ya mradi m'bovu unakamatwa wewe, nadhani mnakumbuka...
  3. Samboko

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Samahani mkuu, kwa sisi tusiojua hizo SoC ulizosema tunafanyaje ili kuzijua na ikiwa ngapi ndio nzuri? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Yaani adi niseme Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Duh! Bora nirudi kwa tecno tu kama ndivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Wakati mimi hua naamini i phone ndio ya kike, kweli tunatofautiana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Samsung hua naziogopa sababu ya service, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Samboko

    Naomba kujuzwa uzuri na changamotoza Xiaomi Redmi 12c,

    Habari wakuu wa technology humu jukwaani naomba kujuzwa kuhusu hii simu nataka niichukue wiki hii, camera uwezo wake maana ni ya biashara na uwezo wa vitu vingine pamoja na changamoto zake Sent using Jamii Forums mobile app Ni 12pro, samabani wakuu
  9. Samboko

    Msaada: Nawezaje kuondoa mabaka ya usoni yaliyosababishwa na chunusi?

    Cha kwanza kabisa epuka kutumia ncha za kucha kutumbua chunusi, subiri ziive minya bila kutumia ncha ya kucha maana ina sumu inabaki kwenye kidonda na huchukua mda sana weusi kuisha kidonda kikishakauka, wee chagua chunusi moja itumbue bila kutumia ncha ya kucha utaona kidonda kikipona hakiachi...
  10. Samboko

    Umepanga kuzaa watoto wangapi?

    Acha tu mkuu..... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Samboko

    Kosa langu ni lipi kwa hawa wanawake na nifanyeje wanielewe?

    Unatafuta kulogwa si bure, wakubaliane kushare? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Samboko

    Umepanga kuzaa watoto wangapi?

    Nilipanga niwe nao 20, sasa hivi nna watoto 13 hamna rangi naacha ona aisee wananipeleka kaa gari bovu, najitahidi kuwahudumia wote ila sio poa, Malengo yangu ya kua tajiri nayaona yaleeeeee yanapepea, maana 8 kati hao wako la 7 kushuka chini. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Samboko

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Upo vizuri sana mkuu huo mzigo?? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Samboko

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu, nataka kununua simu ya redmi, rm4 - 6/128gb bajeti yangu ni laki 4 adi 5, Ni ipi nzuri inafaa kwa picha na inayokaa na chaji na mengineyo muhimu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Samboko

    Kwanini amtongoze rafiki yangu

    Tabia za kawaida sana kwa wanaume walio wengi...
Back
Top Bottom