Recent content by salvatory00

  1. S

    Mohammad Dewji shut that little mouth up!

    Mtoa mada ana point. Hizo kampuni zake hadi sasa vyeo vyote vya juu kajaza wahindi wenzake wazawa wanafaidika na nini.
  2. S

    Siri ya mbaazi na bikra kwa wanawake

    Hakuna kitu kama hicho mtasababisha watu wapate infection
  3. S

    Ndege yawaka moto kabla ya kutua nchini Marekani.

    Chicago sio jimbo, jimbo ni Illinois. Chicago ni mji
  4. S

    P Square wafiwa na baba yao

    So what
  5. S

    Ya kulaumiwa ni Serikali juu ya hizi ajali kama ya jana Arusha!

    Solution ya ajali hizi ni kutenganisha barabara angalau ziwe one way katikati kujungwe msingi unaotenganisha upande mmoja na mwingine. Hii itasaidia kupunguza kugongana uso kwa uso( head on collision) ambayo ni hatari sana na inaua watu wengi
  6. S

    Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Duh mzee umeua hiyo code kuchinja mbuzi, any way R.I.P mr. Kimomori, maadam Balbina, and Deacon Simwela
  7. S

    Mti wa Ajabu

    Tazama movie inaitwa Thousand words kacheza Eddie Murphy
  8. S

    Buns za nyama

    Unatuma posts nzuri sana. Ushauri wangu baadhi ya majina ya vitu unavyopika jaribu kutumia lugha rahisi iliozoeleka kwa wabongo mfano buns ni skonzi, shrimp ni prons,
  9. S

    CHINESE CUISINE: Nini ule ukienda kwenye mgahawa wa kichina...

    Tatizo lao wanatia sukari kwenye mapishi yao hasa nyama
  10. S

    Hainan Airlines sasa kutua moja kwa moja Tanzania kutokea China

    Just curious, ktk mashirika hatari kwa usalama angani china ipo kumi bora
Back
Top Bottom