Niseme tu hii inchi bado haijapata dawa ya matatizo yetu,hatuwezi kutegemea mtu,kwanza zitungwe shelia mfano katiba ya warioba hapo ndipo tutasema tumeanza kupiga hatu sio kwa kumtegemea mtu anayepambana na vidagaa wakati mapapa hayaguswi
Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
Una ueleo
uelewa wako ni mdogo sana,ungejua maisha wanaoishi Watanzani ni kwa kundra za mwenyezi mungu hata hiyo kodi mnayowakamua mnawaonea achana na kuanza kuwasaka majumbani mwao
Selikali ingewaamuru hao wamiliki wa mabasi waunde kampuni hayo yote yasingetokea,kuliko kila mtu kufanya biashara kivyake,nazani hilo lingesaidia kupuajali ajali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.