Search results

  1. R

    Mliokuwa mnasema "tatizo siyo mtu, tatizo ni mfumo" mnasemaje sasa?

    Niseme tu hii inchi bado haijapata dawa ya matatizo yetu,hatuwezi kutegemea mtu,kwanza zitungwe shelia mfano katiba ya warioba hapo ndipo tutasema tumeanza kupiga hatu sio kwa kumtegemea mtu anayepambana na vidagaa wakati mapapa hayaguswi
  2. R

    Tumfahamu Mtakatifu/Saint Padri Pio

    Ukiwa muumini filani inabidi uwe kama chizi au mtoto mdogo,ingekuwa kwa mwafrika tungemuita mchawi,sababu mzungu tunamuita mtakatifu,MKWAWA alivuka mto ruaha huku akipita juu ya maji
  3. R

    Hivi kuna hoteli ya kitalii inayolipiwa milioni 20 kwa siku Tanzania?

    Kuna hotel iko zanzibar,imejengwa chini ya bahari nazani ndio inalipwa hera nyingi kuliko hotel zote hapa Tanzania
  4. R

    Sehemu ya pili: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    Huwa naipenda sana picha yako
  5. R

    Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Una ueleo uelewa wako ni mdogo sana,ungejua maisha wanaoishi Watanzani ni kwa kundra za mwenyezi mungu hata hiyo kodi mnayowakamua mnawaonea achana na kuanza kuwasaka majumbani mwao
  6. R

    Nisaidieni namna ya kukwepa hii aibu wakuu

    Coca-Cola ya baridi chupa moja changanya na chumvi ya unga kunywa,weka chumvi nyingi sana tumbo litakata ndani ya dk tano utakuwa fredhi
  7. R

    Nilichojifunza kuhusu punyeto

    Hivi kuzini na mwanamke na kupiga punyeto kipi bora,
  8. R

    Nilichojifunza kuhusu punyeto

    Nimekukubali mkuu
  9. R

    Kama kweli ushirikina ndio sababu kubwa ya ajali nchini Tanzania basi nitasafiri tu kwa miguu!

    Selikali ingewaamuru hao wamiliki wa mabasi waunde kampuni hayo yote yasingetokea,kuliko kila mtu kufanya biashara kivyake,nazani hilo lingesaidia kupuajali ajali
  10. R

    Kwa mwanaume kama huyu unakimbilia nini ndugu?

    HataMimi nimeshangaa, Hata
  11. R

    Kutazama picha/video za ngono ni hatari sana

    Valentina,huwa napenda sana kusoma michango yako
  12. R

    Sitokuja tena kutoa sadaka kanisani

    Hakuna kitu,wote ni walewale tu, unajua ada tunayolipa kwenye hayo mashule?sadaka mpe maskini anayehitaji msaada wa kweli unayemuona kwa macho yako
  13. R

    History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

    Sio ndio nyie mlinyonga watu kisa wamesema dunia duara na nyie mkasema dunia iko kama meza,dini na sayansi vi vitu viwili tofauti
  14. R

    History in the making: NASA’s Juno spacecraft arrives at Jupiter!

    Utakuwa unamatatizo wewe,au baadhi ya imani zimekuathiri,hujui kila kinachokuzunguka kilitokana na mwanasayansi
  15. R

    Ni mwezi mmoja sasa tangu nipige punyeto kwa mara ya mwisho

    Um Umeongea kweli kabisa ndugu yangu,mimi isingekuwa punyeto ningekuwa nilishazikwa zamani
  16. R

    Mke mpya wa Mfalme Mswati

    Nayapenda sana maisha ya mfalme mswati anakula gudi time kulikoobama obama
  17. R

    Madikteta Wanazaliwaje na Wanakufaje?

    Hii safari itaumiza wengi,wala haitachagua mtu,ngoja tuone mwisho wake
  18. R

    Ushauri: Nimepoteza hisia kwa mke wangu, simtaki tena

    Story yako haijatofautiana sana na mimi,nilikuwa na hera nikawanatembea na watoto wakali,ukitegemea nilikuwa nauza nguo za kike,biashara yangu ikaja kuanguka sio kwa ajili ya mademu hapana,yaani nilipata hera nyingi zikawa zimenizidi umri,naambiwa na ndugu zangu nunua nyumba,viwanja,nikakimbilia...
  19. R

    Sitaki dawa

    Heri mimi mshamba,kama hera ya mboga ninayo lakini najitembeleaga na mafuta ya mgando kwa ajili ya kujichua niwe popote pale gest,chumbani kwangu.
Back
Top Bottom