Recent content by RICARDO KAKA

  1. RICARDO KAKA

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Eee MUNGU saidia tuione Tanzania ya Viwanda. Nataka niwe nasoma ''Made in Tanzania''
  2. RICARDO KAKA

    CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    LOSE and GAIN Tumepoteza lakini Tumepata.
  3. RICARDO KAKA

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Mmmmmmmmmmm! aisee nitazimia mimi. Wassira, Olesendeka na Mwakyembe out? Eeeh MUNGU saidia iwe kweli
  4. RICARDO KAKA

    Hatimaye Nape Akata Tamaa. Amkatalia Magufuli Ziara za Dar

    Dah, Nape akiliwa firigisi nitafurahi sana
  5. RICARDO KAKA

    2015 mwaka wa mabadiliko, kimahusiano, kimaisha na kiuchumi

    Hahahahahaha,Wewe toroka uje haraka
  6. RICARDO KAKA

    Tsunami la UKAWA laikumba Karatu, Mbowe amzungumzia Dr. Slaa

    Nawapenda UKAWA mpaka naumwa
  7. RICARDO KAKA

    Mama Samia afunika kwa kampeni zake Ilemela na Nyamagana Mkoani Mwanza

    Dah, kweli kajaza, mpaka watu wanakanyagana, Looh
  8. RICARDO KAKA

    Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM, Mbona Walioshinda ni Watoto wa Viongozi Pekee?

    Shida watoto wa maskini hawajui ile makitu initwa BAO la MKONO. :rockon::rockon::rockon::rockon:
  9. RICARDO KAKA

    Baraza La Vijana CHADEMA (BAVICHA), Wazungumza na Wanahabari

    Nadhani watakuwa wanawatangazia waandishi wa habari kuwa, tayari wameshapeleka posa yao kwa UVCCM, na kuwa kinachofuata ni mipango ya harusi. Bibi harusi Bi. UVCCM ana hamu sana kuona naye sasa anaolewa.
  10. RICARDO KAKA

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Leo nimemkatalia mke wangu kufanya, ili nisije nikaishiwa nguvu za kutembea UKAWA walipo nipo.
  11. RICARDO KAKA

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Naomba siku UKAWA wanatangazwa kuchukua nchi mke wangu asiwe Mwezini! maanasiku hiyo ni kufanya mwanzo mwisho, jikoni, uani, sebuleni, chumbani kidogo maana tumekizoea. Eee MUNGU saidia UKAWA wachukue nchi nipige show ya Makhirikhiri.
  12. RICARDO KAKA

    Magufuli angekuwa bora Kikwete angempa uwaziri mkuu mwaka 2008 Lowassa alipojiuzulu!

    Hakuna kiongozi mnafiki kama Mkwere. Baada ya kuona mpango wake wa kumuweka Membe na Asha Rose pamoja na Makamba kukwama, saizi ndo anajifanya anamfagilia magufuli. Hamkumuona ile siku dodoma alivyokuwa mdogo alikuwa ni mtu ambaye ana mawazo mengi sana. Huyo Magufuli ni mpango wa Mkapa na...
  13. RICARDO KAKA

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Bulaya amekatwa? Yaani ninavyopmenda hivyo Akatwe? Hata akikatwa vipi, lakini bungeni ataingia tu.
  14. RICARDO KAKA

    CCM na kosa la kisiasa

    UKAWA Imara! UKAWA Imara! CCM Makopo! CCM Makopo! Mimi niliwaambiwa watu jaamani msichukie Mkwere, mkweli ni chaguo la MUNGU, ameletwa na MUNGU ili aje aiue CCM nyie mkawa mnanibishia, sasa naona yale niliyowaambia sasa yanatimia. Thanks RICARDO KAKA
Back
Top Bottom