CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Mbatia kaizika rasmi NCCR huko Kibondo na Kasulu.
 
Mko hapa mtandaoni mnapayuka na liciciem lenu kesho wakienda kutibiwa India nyie mnaenda kufia hapo Mhimbili bila hata kidonge cha kutuliza maumivu. Ujinga ndiyo unaowamaliza. Ndiyo zitaendelea bungeni, escrow zitashamiri, nyie mtabaki kulia tu. CCM haijashinda popote ni wezi wa mchana kweupe hiyo wenye akili wanajua sana. Acheni ujinga ndugu zangu angalie maslahi mapana ya watoto na wazee wa taifa letu. Ushabikihauwasaidii hapa.
 
Hahahaa, ila bado wanajipa moyo,ngoja tusubiri matokeo.....
Walidanganywa na mafuriko kumbe tulienda kushangaa chopa na comedy za babu kwa wajukuu wake
Kura ya mtu ni siri ya mtu....
Teh Teh
Bavicha huwa nawafananisha na kikundi cha futuhi.....
Lowasa aamini kinachotokea....
 
Mkuu hawa jamaa walidanganyika na mafuriko hewa ,wakasahau kuwa kwenye kura hakuna kuigiza wala mafuriko hewa,tuliwaambia maigizo yenu ni maafa yenu,hawakusikia,tukawaambia kujaza server za JF na kumsifia msanii sio ndio kupiga kura,sasa nadhani wameyaona wenyewe,sasa sijui Mzee kingunge atazungushia wapi mikono,Mungu mkubwa magamba yamejivua yenyewe na sasa tunasubiri Magufuli atupeleke Canaan ,nchi ya maziwa na asali.

Nasikitika Tutakufa masikini....
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

Tumeanza na zenji baada ya saa 12 jioni lazima utakimbia
 
Mpo hapa kazi tu wakati mnadhurula barabarani tu,mnakaa kwa Shemeji zenu,walionakazi zao hawaipendi system,nyie msiokuwa na mbele na nyuma muda wote mpo kwenye simu tu,mpo hapa kazi tu,wakati mnataabika tu
 
Hoja zingine bwana. Kwa hiyo wale waliokuwa wanaharibu maji kwa kudeki barabara wakati wenyewe wana wiki mbili hawajaoga na wanashindia viroba ndiyo wana kazi? Subiri sindano ikuingie mkuu. Ndiyo siasa hizo! Wakati wenu mlitamba sana hapa JF. Unamjua mtu anaitwa Ocampo Four? Mussa Allan? Mmawia? Swiss me? We acha tu!
 
Walikuwa wanawaka miali ya moto vinywani,now mmh,mzee Duni na kiswahili chake cha Kiunguja sijui anajionaje si kheri angebaki kule kule Visiwani mwenzake aliona mbali akagoma kuja UKAWA maana aliona mustakabali wake huko mbeleni ni giza totoroooo!!!!!!!!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

kwa lipi maana bado tunaongoza
 
Teh Teh Bavicha nguvu yenu iko jf tuu..
cc BRENDA 18

😂😂😂😂😂huyu hatujui wasukuma tulikuwa tunawaangalia tu na fujo zao mwanza...na tumewakalisha....mimi hawa watu jamaniii wametutesa sana jf...isiwekwe post utaskia chagua mabadiliko haya sasa wafate hayo mabadiliko ya hali ya hewa.....
 
Last edited by a moderator:
Lowassa ndiye Rais penda usipende. Pili Dr. Slaa hakuwahi kuletea upinzani ufanisi wa kushinda kiasi hiki. Tena angesimama yeye saliti ndiyo angeuza ushindi kabisa. Lowassa amewasha moto wa upinzani. Tena kusingekuwa na uchakachuaji wabunge wengi sana wangetoka upinzani. chezea mzee wa busara Lowassa. Nasema atashinda, subiri upepo utajeuka muda si mrefu. Mtashangaa mno.
 
Walikuwa wanawaka miali ya moto vinywani,now mmh,mzee Duni na kiswahili chake cha Kiunguja sijui anajionaje si kheri angebaki kule kule Visiwani mwenzake aliona mbali akagoma kuja UKAWA maana aliona mustakabali wake huko mbeleni ni giza totoroooo!!!!!!!!!

Kile kiswahili cha juma duni mie hoi😀😀 ukiongeza na vituko vya babu inakuwa comedy,asanteni ukawa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom