Recent content by Qsm

  1. Q

    Fursa ya safari ya kibiashara China (kwa wajasiriamali wenye mitaji midogo)

    My Bro Mshana endelea unajua tena kina sisi kila kitu kukosoa tu na kujifanya tunajua kila kitu. Mwenye nia ya dhati atafanya na hawa wababaishaji achana nao. Hongera kaka wajasiliamali tumekuelewa.
  2. Q

    Uchafu wa kiroho hunuka kuliko uvundo wa maliwato

    My bro ni kweli kabisa ukitendwa kurudishwa upendo wa awali haiwezekani kabisa.
  3. Q

    Mwenye kulifahamu Ua hili

    YAPO MENGI TU KWA WAUZA MAUA. TUAMBIE BASI LINASAIDIA NINI?
  4. Q

    Ipi ni picha halisi

    du wewe ni mchoraji? jitangaze tutakupataje? unachora kwa kweli
  5. Q

    Uzi maalum. Mbwembwe za Wanyakyusa!

    Kwa kweli kuna watu hawaijui Mbeya, karibuni huwezi fananisha na huko kwenu kwa kila kitu:)
  6. Q

    Maisha yanaenda kasi sana

    Mama yangu kipenzi nitakukumbuka daima, wenzetu wote ndani ya nyumba hii Jamii forums na wote waliotutangulia tutawakumbuka daima.
  7. Q

    Mimea 10 ya kiroho yenye nguvu chanya kimwili

    Tunasubiri kwa hamu namba 9 na 10 please
  8. Q

    TANZIA Rapa mkongwe wa Hip Hop, Coolio afariki Dunia

    Pumzika kwa amani. tutakumiss sana sisi tuliokuwa wasichana na wavulana kipindi hicho na sasa ni kina bibi na babu
  9. Q

    Gari linatoa harufu ya petrol ndani

    kwa kweli kwani mimi ilishanitokea kumbe ni tank lilikuwa lina leakage. tank liko ndani ya gari kwenye sit za nyuma
  10. Q

    TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

    Pole sana kwa WanajamiiForums na familia kwa ujumla
  11. Q

    Kama pato lako ni chini ya milioni 3 jenga ghorofa la Kinyakyusa ukiwa na ndoto ya kujenga ghorofa kwa sasa!

    mhhh sisi kina sisi jamani. kwani lazima ulale juu. tuseme hatuwezi tu
  12. Q

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    yaani hizo kucha du sijui huyo ajaye itakuwaje? atakatwa kucha kweli?
Back
Top Bottom