Recent content by Percival

  1. P

    Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

    Mbona umekuwa mjinga leo? Hujui njama za wakoloni wako hao wa magharibi? Huo uhuru bandia ndio umeona kitu cha maana? Huoni waafrika wenzako wanavyo uwawa na polisi huko kila siku? Umesau Trump alivyo kuita wewe unatoka nchi za ass hole country? Kaa na umbumbumbu
  2. P

    Wanazuoni wa kiislamu toeni elimu kwa Waumini, wasioulewa vizuri Uislam wao

    Hakuna ALIELAZIMISHWA kufunga. Tofauti ni pale mtu anapotaka kuonesha kiburi na kutaka kudharau maadili ya watu walio wengi sehemu husika. Usipo jiheshimu na kuheshimu wenzio hayo ndio matokeo.
  3. P

    Wakuu nina wazo

    Nyie watu wa ajabu sana. Mungu anawapenda, anawapa ishara zote mwanzoni kabisa kuwa huyo mwenza wako hakufai. N a wewe bado tu umekodoa macho unakusanya za mizinga. Tafuta mke mwema, mcha Mungu, asie na makuu na owa kabisa uone baraka na raha maishani.
  4. P

    Ac za baridi baridi Vs kununua AC kkoo..ipi Bora?

    Kwenye mtandao wao kuna bei za kukodi na AC wanayotumia ni Daikin ambayo ni aina bora lakini zipo nyingi sikoni zanye viwango kama daikin kama Panasonic, Haier, Akai, Midea, Hisense, Gree n.k Hiyo ya kusave Luku ni mbinu za uuzaji tu hakuna ukweli. Sasa fanya hesabu zako mwenyewe. Inaonesha...
  5. P

    Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    Ukiwa na tapeli lazima upanue mitego ili kondoo wengi waingie
  6. P

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Wizara husika iko mfukoni mwa haya mashirika. La sivyo mwananchi a singe kuwa anasumbuliwa hivi
  7. P

    Tamko la serikali dhidi ya "uhuni" kwa kigezo cha Ramadhani ni "uhuni" mwingine

    Acha bakora zitembee wawe na akili za kuheshimu jamii. Tandika tu sababu hakuna namna. Unataka kula tafuta mahali pa faragha sio kuwafanyia watu karaha.
  8. P

    Leo katika historia: Undani wa hayati Abeid Amani Karume (1905 - 1972)

    Zanzibar ilikua mbali hata kuanzia mwanzo wa karne ya 20.
  9. P

    Bondia Dula mbabe wa Tanzania ashushiwa kichapo kizito huko Uk

    Watanzania wanashangilia na kufurahia mtanzania mwenzao kapigwa kwenye ndondi. Safari bado refu
  10. P

    PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan

    Unapokua mbele ya jamii jaribu kuepuka kuwadharau wao na maadili maadili yao. Kuheshimiana ni vizuri. Ikiwa huoni mtu anakula hadharani na wewe tafuta pahali pa faragha ule lakini usijitie umbumbumbu wa kutaka kuonesha umwamba la sivyo hakuna namba ila bakora tu itumike kuku rudisha kwenye mstari.
  11. P

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Hizi taasisi za kimagharibi na serikali zao zinazojiingiza kwenye masuala ya jamii zetu kila siku ndio zinaleta huu ujinga ambao matokeo yake ni maadili, ndoa na familia kuvurugika. Na bado ushetani mwingi unakuja kuvuruga jamii.
  12. P

    Kumbukizi: Watanzania Waliosimamia kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi

    Huyo ajuza wa hela ya mboga ndio nuksi hapo. Hana lolote ni uprofessor njaa tu.
  13. P

    Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

    Mwarabu atamvuruga huyo simba uchwara mpaka aurudishe mkia katikati ya miguu
Back
Top Bottom