Mzee Mohammed, tunafaidika sana na nyuzi zako kama hizi. Kwani zinatupa nadharia maisha yalivyokua jijini miaka hiyo na watu mashuhuri waliokuwepo.
Sijaona lolote la udini hapa zaidi ya mtu mashuhuri amewakirimu watu kwake.
Kuna watu humu wakisikia hata neno 'futari' basi dira ya akili zao...
Hawa voda na wenzao wizi sana. Na moja ya njia yao ni kukuzungusha mpaka uchoke.
Kama una muda na gharama wapeleke mahakamani na dai pesa za usumbufu na gharama za kesi
Kwa kweli Marehemu Magufuli alivyo shughulikia tatizo la Covid 19 anastahili sifa kubwa.
Alipunguza sana vifo na taharuki na taabu za maisha kwani watu hawakupaniki na walitumia kinga nyepesi kama kunawa mikono na mvuke.
Hapi apewe hongera kwa uongozi wa taifa katika wakati huo mgumu.
Sent...
Swift ni mtandao wa kutuma pesa kibenki duniani. Ukinunua gari Japan wanataka uwatumie dolla. Sasa benki zetu au benki kuu haina dolla za kutosha kwenye account zao na mabenki makuu ya kimataifa. Kwa hiyo wanakwambia hatuna dollar
Kuna ushindani mkubwa kwenye biashara wa ndani na kutoka nje ya nchi pia ndio maana mishahara iko hivyo. Ni lazima kudhibiti gharama au kiwanda au biashara itafilisika.
Soko la ajira pia lina ushindani mkubwa ndio maana ajira ni taabu kwa hiyo ukipata mahali jishikishe mpaka utakapi pata pazuri...
Wewe hujaelewa kuwa benki wana facility au banking instruments nyingi kuwezesha biashara ambazo hazihusiani na mikopo ya riba.
Pili binaadamu hajaumbwa kamili anaerza kuterereka mahali.
Wewe umekalia kutafuta kasoro badala ya kutafuta kama yeye. Hiyo hapo benki nenda na wewe kama unadhani benki...
Hiyo riba ya 35% kwa siku 5 ndio msiba mkuu.
Hizi si taasisi za heri zifungwe tu, hilo ndio nitailaumu BOT kuachia wananchi wa kipato cha chini wanyonywe vibaya.
Anaekopa hivi pia anahitaji elimu zaidi ya kifedha.
Huu kweli ujuha. Yaani sasa bado unataka watu watume maombi ya kazi kwa nyaraka badala ya email au online.
Hiyo EMS ya kwao hao posta, wanajua watatengeneza mamilioni kutoka kwa watu ambao hawana ajira. Na uchungu zaidi utakuta wameisha chagua wanao wataka.
Watanzania hatujui tu kuwa tuko mbali kuliko wengi kimaisha.
Hii haimaanishi hakuna mapungufu yanayo hitaji marekebisho ili tuchomoke zaidi kimaendeleo.
Haiwezekani kuwa sababu ni kuwashwa mtambo mmoja lazima sababu itakuwa ni mvua chini au juu ya bwawa. Ikiwa maji yamejaa bwawani na mvua zinazidi inabidi wafungulie maji yamwagige na hii athari hata lisingekuwepo bwawa ingekuwepo.
Zito ni hazina kubwa kwa hili taifa. Kafanya mengi kwa manufaa ya taifa huku akiwa nje ya chama tawala. Haweki maslahi yake mbele. Ana uzoefu mkubwa wa siasa na uongozi.
Mimi si mfuasi wa chama chochote
Ukisikia msemo "kujitolea hali na mali" basi hawa ndio mfano mkubwa kwa jitihada zao katika kudai uhuru.
Ingefaa hizi sehemu muhimu katika historia zinge bandiikiwa vibao vidogo (plaque) kueleza kwa muhtasari tukio la kihistoria lililo tokea kwenye nyumba hiyo.
Hivi vibao vinatumika sana nchi...
Ikulu ni ya wananchi, kwa hiyo mleta mada usiweweseka kuona kama ilikuwepo hafla wakawaita wauza madafu kadhaa wahudumie wageni ili kuongeza mazingira ya furaha na wauza madafu wajipatie riziki na fursa kuingia maeneo ya ikulu.
Vipindi vyote vya hiyo channel vinaoneshwa na subtitle za kiarabu? Labda hiyo program ilikua targeted kwa mashariki ya kati.
Maana hao wazee wa huko wakiingia na petro dollar zao wanajua kuishi kama wafalme kwrnye hotel na huduma za hadhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.