Recent content by Omutwale

  1. Omutwale

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    Makonda kaishajiaribia kwenye nafasi ya Ubalozi hasa kwa nchi za Magharibi. Kampeni yake ya kupinga ushoga inasababisha asikubalike Magharibi
  2. Omutwale

    Tanzania Imekwisharidhia Ushoga Siku Nyingi!

    Makala hii niliiandika mwaka 2012. Nilichokisema kimetimilika na kuhitimishwa kwa kauli za Serikali. Kauli ya kwanza ilitolewa na Balozi Mahiga-Vita dhidi ya ushoga Dar es Salaam si msimamo wa serikali na ya pili imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani- Wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tanzania
  3. Omutwale

    Tetesi: 'Waandishi wa Makonda' kwenda Ziarani Koromije

    Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije. Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi...
  4. Omutwale

    Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

    Yawezekana kweli nakosea lakini wewe unanipoteza. Aina za biashara pia zina viwango vya mahitaji kama vile maarifa, ujanja, ujasiri, nk. Ndiyo maana si kila mmoja anaweza kufanya biashara yoyote. Aliyeshindwa biashara ya juisi anaweza kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na akafanikiwa sana...
  5. Omutwale

    Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

    Mkuu Waberoya, nakuaminia katika kumkoma nyani giledi. Lakini kwenye hili unataka kuniangusha. Naomba Mungu uje na akili za asubuhi. Huu ni utani wa hali ya juu. Kweli kabisa umemfahamu jambazi wa mali za watu, kabda hujakamata vidhibiti unamtangazia aje kituo cha polisi baada ya siku mbili...
  6. Omutwale

    Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

    Naomba kujua kati ya 65 walioitwa kufika Kituoni, mpaka leo wamefika wangapi?
  7. Omutwale

    Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

    Hii ni conspiracy theory yangu na uwezekano wake kuwa kweli ni mdogo. Ina hypothesis mbili: Hypothesisi 1: Kamanda Sirro kwa niaba ya system iliyojeruika anamuongoza Makonda kwenda kujizika na Makonda anafuata njia kwa mbwembwe na madaha bila kujua. Hypothesisi 2: Papo hapo, Rais asipokuwa...
  8. Omutwale

    Nahitaji Mapipa ya Lita 250> na Mfuniko Kama Haya!

    Kwa muuzaji mwenye hii bidhaa tuwasiliane kwa PM au email: tanvanille@gmail.com
  9. Omutwale

    Mhadhiri Bashir Ally (UDSM) Atafutiwe Jimbo!

    Mjadala huu wa Aug 2013 unaweza kuhitimishwa kwa Dr. Bashiru kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Inshallah Mungu amfanyie njia.
  10. Omutwale

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Wacha leo nitapike ya moyoni yaliyoniganda miaka ya hivi karibuni na nizawadie adhabu ambayo sijawahi kuonja. Nyinyi watu Cookie,Mhariri,Active,Moderator ni wachenzi na wapuuzi sana. Nimevumilia miaka mingi mnanidhalilisha kwa kuunganisha kila thread ninayoanzisha. Hivi mkusanyiko niliofanya...
  11. Omutwale

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Sijapata kuona Katibu anayeweka mafaili au kuvujisha/kugawa nakala original za barua zake mitandaoni kama huyu Mukovwa Kwa kuzingatia historia na tabia kama UKAWA wangekuwa na hiki kirusi hakika hata leo Gazeti la Mtanzania lingeweza kutoa nakala original za yote yaliyokwisha zungumzwa kwenye...
  12. Omutwale

    Je, Tanzania tumeridhia ushoga? Taasisi hii ichunguzwe...

    Rejea makala yangu ya mwaka 2012: Tanzania Imekwisharidhia Ushoga Siku nyingi! Naomba @invisible au deonova weka hii taarifa ya nyongeza kwenye uzi huu hapo juu. Mnakumbuka kulikuwa na NGO ya Sisi kwa Sisi ambayo ndiyo ilikuwa mahususi kwa ajili ya mashoga. Serikali iliwahi kuwalaghai...
  13. Omutwale

    Tanzania Imekwisharidhia Ushoga Siku Nyingi!

    deonova na Bujibuji rejea hii post...Tanzania tulikwisha ridhia mambo hayo siku nyingi. Naomba @invisible au deonova weka hii taarifa ya nyongeza kwenye uzi wako. Mnakumbuka kulikuwa na NGO ya Sisi kwa Sisi ambayo ndiyo ilikuwa mahususi kwa ajili ya mashoga. Serikali iliwahi kuwalaghai...
Back
Top Bottom