Nadharia ya Kamanda Sirro Kwenye Anguko la Makonda

Hivi jamani, mnasahau bunge ni la CCM? mna sahau rais ni nani CCM?? mnasahau CCM hawa hawa ndio huwa wanasema ..'ndiooo'

Hivi ni kitu gani unaona kinaweza kikabadilisha hili swala?? kuwa wabunge wawe kinyume na rais ambaye ni mwenyekiti wao??

Makonda haanguki na hakuna baya litakalompata!

Hypothesis zako ni UTOPIA
Wanasahau pia Spika anatokana na CCM. Madaraka yake yanatokana na maamuzi ya vikao vya CCM. Wanasahau pia Spika ni Mjumbe wa Kamati Kuu, NEC ya CCM.

Zaidi ya yote, Mwenyekiti wa Vikao hivyo ni Rais huyo huyo mnayempiga mkwara.

Jambo mnalosahau Raisi ni Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

Wengine kula yao na Ulinzi wao unafanywa na vyombo ambavyo vinawajibika kwake.

"Wauza Ngada wana tapa tapa"
 
Wanasahau pia Spika anatokana na CCM. Madaraka yake yanatokana na maamuzi ya vikao vya CCM. Wanasahau pia Spika ni Mjumbe wa Kamati Kuu, NEC ya CCM.

Zaidi ya yote, Mwenyekiti wa Vikao hivyo ni Rais huyo huyo mnayempiga mkwara.

Jambo mnalosahau Raisi ni Mkuu wa Serikali, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.

Wengine kula yao na Ulinzi wao unafanya na vyombo ambavyo vinawajibika kwake.

"Wauza Ngada wana tapa tapa"

mpaka unawaonea huruma walivyokuwa wasahaulifu
 
Tuko na Makonda mpaka dakika za mwisho, wapende wasipende

sumu inaua watu wanataka ustaarabu

hii ni vita

Mkuu Waberoya, nakuaminia katika kumkoma nyani giledi. Lakini kwenye hili unataka kuniangusha. Naomba Mungu uje na akili za asubuhi.

Huu ni utani wa hali ya juu. Kweli kabisa umemfahamu jambazi wa mali za watu, kabda hujakamata vidhibiti unamtangazia aje kituo cha polisi baada ya siku mbili halafu utegemee akifika ndo ukamkague ili upate hivyo vidhibiti na kumfungulia kesi? Hiyo yawezekana tu kama April fools' day mwaka huu inasherekewa Februari! Tuachane na nadharia, tuongelee uhalisia. Vidhibiti cha Gwajima, Azzan na Manji vimepatikana? Kuna dalili zozote za wao kuhusiaka na hivyo watafunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani?

Mimi siko na Makonda bali niko na wote walioko kwenye kampeni yenye nia ya dhati na utashi wa kisiasa kutokomeza biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.
 
Mkuu Waberoya, nakuaminia katika kumkoma nyani giledi. Lakini kwenye hili unataka kuniangusha. Naomba Mungu uje na akili za asubuhi. Kweli kabisa umefahamu jambazi wa mali za watu, kabda hujakamata vidhibiti unamtangazia aje kituo cha polisi baada ya siku mbili halafu utegemee akifika ndo ukamkague ili upate hivyo vidhibiti na kumfungulia kesi? Hiyo yawezekana tu kama April foold day mwaka huu inasherekewa Februari! Tuachane na nadharia, tuongelee uhalisia. Vidhibiti cha Gwajima, Azzan na Manji vimepatikana? Kuna dalili zozote za wao kuhusiaka na hivyo watafunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani?

Mimi siko na Makonda bali niko na wote walioko kwenye kampeni yenye nia ya dhati na utashi wa kisiasa kutokomeza biashara na matumizi ya madawa ya kulevya.

Omutwale, bado unakosea

what if kama namnatangazia naweka makachero watakaochunguza anapeleka mizigo wapi na nyendo zake zote?

what if kama simu zao na sms zao zote zinakuwa tracked

naishajua tayari mtandao wake, usisikie hawa wengine wasiofikiria upande huu wapili! wengi zaidi watakamatwa mkuu, I bet

nani mjanja hapo!
 
Yawezekana kweli nakosea lakini wewe unanipoteza.

Aina za biashara pia zina viwango vya mahitaji kama vile maarifa, ujanja, ujasiri, nk. Ndiyo maana si kila mmoja anaweza kufanya biashara yoyote. Aliyeshindwa biashara ya juisi anaweza kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na akafanikiwa sana.

Vivyohivyo madawa ya kulevya yanazo prequalifications. Miongoni mwake ni ujanja na ujasiri. Watathmini kina Christopher Dude, El Chapo, Shkuba si washamba hata kidogo. Hawakupita darasani lakini vichwa vyao ni sharp katika maarifa na ujanja wa kuhakikisha wako salama.

Hata mwizi wa Manzese tu hawezi kupewa signal kama ya Makonda na akaendelea kutumia namba ya simu inayofahamika katika kuwasiliana na mtandao wake wa wezi na wanunuzi wa simu za wizi. Pia ni mwizi asiye mzoefu tu ndiye anaweza kuingia mtego wa kuhamisha mali baada ya kuwa ameishashtukiwa kuwa huwa anaiba.

Kwa ufupi hizo tactics mbili ulizotumia kama mifano hata ukimuuliza kijana aliye wiki ya kwanza ya masomo pale CCP Moshi atakuambia hizo zitaishia kwenye aborted mission! Ndiyo maana binafsi nahisi kama vile Makonda anaongozwa kwenye shimo kama kipofu asiyejua kitu.
 
Back
Top Bottom