Makala hii niliiandika mwaka 2012. Nilichokisema kimetimilika na kuhitimishwa kwa kauli za Serikali. Kauli ya kwanza ilitolewa na Balozi Mahiga-Vita dhidi ya ushoga Dar es Salaam si msimamo wa serikali na ya pili imetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani- Wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tanzania
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika Sekondari ya Pamba na Kijijini Koromije.
Kulingana na hadidu za rejea za ziara hii, waandishi...
Yawezekana kweli nakosea lakini wewe unanipoteza.
Aina za biashara pia zina viwango vya mahitaji kama vile maarifa, ujanja, ujasiri, nk. Ndiyo maana si kila mmoja anaweza kufanya biashara yoyote. Aliyeshindwa biashara ya juisi anaweza kufanya biashara ya pembejeo za kilimo na akafanikiwa sana...
Mkuu Waberoya, nakuaminia katika kumkoma nyani giledi. Lakini kwenye hili unataka kuniangusha. Naomba Mungu uje na akili za asubuhi.
Huu ni utani wa hali ya juu. Kweli kabisa umemfahamu jambazi wa mali za watu, kabda hujakamata vidhibiti unamtangazia aje kituo cha polisi baada ya siku mbili...
Hii ni conspiracy theory yangu na uwezekano wake kuwa kweli ni mdogo. Ina hypothesis mbili:
Hypothesisi 1: Kamanda Sirro kwa niaba ya system iliyojeruika anamuongoza Makonda kwenda kujizika na Makonda anafuata njia kwa mbwembwe na madaha bila kujua.
Hypothesisi 2: Papo hapo, Rais asipokuwa...
Wacha leo nitapike ya moyoni yaliyoniganda miaka ya hivi karibuni na nizawadie adhabu ambayo sijawahi kuonja. Nyinyi watu Cookie,Mhariri,Active,Moderator ni wachenzi na wapuuzi sana. Nimevumilia miaka mingi mnanidhalilisha kwa kuunganisha kila thread ninayoanzisha. Hivi mkusanyiko niliofanya...
Sijapata kuona Katibu anayeweka mafaili au kuvujisha/kugawa nakala original za barua zake mitandaoni kama huyu Mukovwa
Kwa kuzingatia historia na tabia kama UKAWA wangekuwa na hiki kirusi hakika hata leo Gazeti la Mtanzania lingeweza kutoa nakala original za yote yaliyokwisha zungumzwa kwenye...
Rejea makala yangu ya mwaka 2012: Tanzania Imekwisharidhia Ushoga Siku nyingi!
Naomba @invisible au deonova weka hii taarifa ya nyongeza kwenye uzi huu hapo juu. Mnakumbuka kulikuwa na NGO ya Sisi kwa Sisi ambayo ndiyo ilikuwa mahususi kwa ajili ya mashoga. Serikali iliwahi kuwalaghai...
deonova na Bujibuji rejea hii post...Tanzania tulikwisha ridhia mambo hayo siku nyingi.
Naomba @invisible au deonova weka hii taarifa ya nyongeza kwenye uzi wako. Mnakumbuka kulikuwa na NGO ya Sisi kwa Sisi ambayo ndiyo ilikuwa mahususi kwa ajili ya mashoga. Serikali iliwahi kuwalaghai...
Pasco namna bora ya kukujibu kwa ufasaha bila kutumia nguvu au kusababisha redundancy na kukusaidia kukondoa kwenye orodha ya walioathirika na alzheimer ni kufanya kama ifuatavyo. Ukishindwa kuelewa basi uandaliwe Jukwaa la tofauti na la GT
Iwapo leo Ben Saanane ataondoka CHADEMA, kwangu itakuwa ni kutimia kwa unabii mwingine baada ya ule niliyoandika hapa: Msaada kwenye Kona! ambapo tarehe 25/08/2010 niliandika "@Zitto Zuberi Kabwe, kabla na baada ya uchaguzi, akiwa ameshinda au ameshindwa SI MWANACHAMA WA CHADEMA" na sasa kweli...
Pasco nimejawa na maono mabaya sana juu ya matukio yatakayotokea kama sehemeu ya mchakato wa kuelekea uchaguzi Mkuu. Miongoni mwa yale ninayoombea yasitokee ni misiba mikubwa ya ghafla na vilema vya kudumu (Kiharusi,.... ) kutokana na mishtuko ya mambo "ndivyo sivyo". Tukifika June, 2015 salama...
Mkandara wewe ni Mzee mwenzangu nitakayokuandikia utanielewa. Zitto yuko sahihi sana kabisa katika yote anayosema anayatetea kwa maandishi na maneno pia anayodandia i.e Escrow ya Kafulila, Haki za Wasanii ya Sugu, etc. Shida itakayompata ni kwamba itambidi kufanya malipizi ya ulaghai aliopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.