Wapendwa salaam
Naomba msaada wa kujua mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara ya vipodozi hasa kujua kama kipodozi husika no feki au original na maduka yanayouza kwa jumla
Wapendwa habari
KUNA tabia ya watu kukupigia SIMU na kujifanya wamepata jina lako toka mamlaka fulani mfano jamaa anapiga simu anasema yupo baraza la mitihani tanzania amepokea orodha ya watumishi anakuambia jina lako limo hivyo kuna taarifa zako zinatakiwa na utumishi haraka hivyo ili...
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na ubora
Asanteni
Salaam.
Mimi ni kijana niliyehitimu chuo cha ufundi sanifu maabara St Peter Iringa kwa ngazi ya cheti kwasasa natafuta kazi kama Kuna nafasi waweza nipa taarifa asante.
Nawasalimu wote humu ndani
Naomba msaada wa mawazo /ushauri lipi bora kuagiza gari moja kwa moja toka Japan kwa kutumia makampuni yanayofanya shughuli hizo au kwenda direct show room za hapa hapa Dar es Salaam? Mfano unataka toyota noah super extra limo old model ya 1999?
Niwatakie ushauri mwema
Kiwango cha mshahara hawapishani ni sawa ila tofauti yao ni kwamba huyu wa CO anakuwa boss wa clinical laboratory ndio tofauti yao pia huyu CO anaweza kwenda kufanya kazi hata kijijini kusikokuwa na umeme kitu ambacho ni tofauti na wa laboratory yeye lazima afanye kazi mjini kwenye umeme kwani...
Na vipi kwa bachelor of medical laboratory science pamekaaje? Maana vyuo vingine Muda wa masomo unapishana sana na hiki chuo hili nalo lipoje? Wenye ufafanuzi mzuri atujuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.