Recent content by Null Pointer

  1. Null Pointer

    Nahitaji course ya Mashine learning au IA

    Kwa kuanzia kuna youtube videos free za hizi topics. Kuna video za hadi masaa 30. Zinaanza kwanzia intro level, basic level mpaka adavnce level. Plus tools za kutumia pia zipo za free. Inahitaji dedication tu. Unahitaji kujua hesabu za statistics na probability. Uwe na uwelewa wa programing...
  2. Null Pointer

    Watanzania wanahitaji kujua ukweli kuhusu NHIF

    Ukisikia kanya boya ndo hii NHIF.
  3. Null Pointer

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Huwa nikikutana na hii mada huwa nawambiaga watu kwamba mimi sikai mbali. Ila nafanya kazi mbali. Je ukihamishiwa kikazi karibu na Chanika, yule mfanyakazi mwenzako aliepanga karibu na Posta sasa ndo anafanya kazi mbali. Akihamisha makazi yake na kusogea karibu na sehemu ya kazi mpya, ataanza...
  4. Null Pointer

    Lini wasiokunywa pombe wataheshimiwa bar?

    Barmaid anajituma kwa anaetoa keep change. Tatizo wanywa soda mnadai hadi change ya sh 100.
  5. Null Pointer

    Mwaka wa kumi huu au zaidi umeajiriwa (unatumwa tumwa tu); je, ni kitu gani kinakufanya usijiajiri?

    Kuna mwaka nilijipanga kununua flat screen mpya ya nyumbani. Nikaingia mtandaoni na kuongea na muuza mali kwa njia ya simu. Akanielekeza mpaka dukani nikafika. Nikapokelewa na kijana wa kiarabu nahisi alikuwa O level. Kilikuwa kipindi cha likizo za shule. Akanipeleka kwenye sectiona ya flat...
  6. Null Pointer

    The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

    Mkuu hili swala lipo na linawakumba developers wengi wanao chipukia. Huwa wanapitia juu juu documentation za framework na kuanza kazi. Ila kwa kuongezea hapo kwenye mada kuna matatizo pia kwenye sehemu mbili ambazo mimi nimeziona. Ya kwanza ni documentation na ya pili ni testing. Nianze na...
  7. Null Pointer

    Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

    Kwa mtazamo wangu ni kwamba kila lugha ya computer ina lenga sehemu flani ya tasnia nzima ya ulimwengu wa computer. Mfano python na R zinatumika sana kwenye data science kwa sababu kuna libraries nyingi za kurahisisha process nyingi za data science. Lakini hii haimaanishi kwamba lugha nyingine...
  8. Null Pointer

    Vitabu vya software application development

    Mkuu, labda kama ww ni mpenzi wa kusoma hard copy text books wakati wa kujifunza computer programming. Kama una PC yenye access ya internet. kuna very interactive tutorials online za wadau wengi. Uzuri wa hizi tutorials zinakuwa na online compilers embedded kwenye hizo sites. Hii...
  9. Null Pointer

    Developers: Jinsi ya kufanya miamala ya ki Benki kuhifadhiwa kwenye mfumo wako!!

    Njia sahihi ni kutembelea hizo benki ambazo unataka kupata taarifa za malipo. Baada ya ujio wa mfumo wa ulipaji wa serekali (GePG), taasisi za kifedha nyingi zimeboresha mifumo yao ili iwe na API za kuwasiliana na mifumo mingine ya malipo including GePG. Kama nilivyotangulia kusema hapo juu...
  10. Null Pointer

    Developers: Jinsi ya kufanya miamala ya ki Benki kuhifadhiwa kwenye mfumo wako!!

    Habari mkuu, APIs ni interfaces za mifumo ambazo nyingi cyo public hususan hizi za taasisi za kifedha kama mabenki kwa sababu ya unyeti wa taarifa zinazopita. Yaani nyingi ni closed na ili upewe access lazima umtafute muhusika wa mfumo, utimize matakwa yake alafu ndo akupe access. Wengi...
  11. Null Pointer

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

    Asante mkuu kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
  12. Null Pointer

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

    Asante mkuu kwa ushauri. Nitaufanyia kazi.
  13. Null Pointer

    Natafuta sehemu ya kufanya kazi part time

    Salaam Wakuu! Poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30. Ninaishi Dar es salaam. Nimeajiriwa kama Software Developer sehemu fulani. Natafuta sehemu ya kufanya part time nje ya muda wa kazi. Lengo ni kuongeza kipato na pia kupata uzoefu nje ya mazingira ya kazi. Nimesoma degree ya...
  14. Null Pointer

    Hodi wenyeji

    Habari zenu wenyeji, Nimeamua kujiunga rasmi baada ya kuifuatilia JF kwa miaka kadhaa kama guest. Noamba kukaribishwa ndani. Ahsanteni.
Back
Top Bottom