Sio utahira, hii inaitwa kufunguliwa. Yaan unafunguliwa akili ili umjue vizuri unaemwamini. Usipokuwa na kifua ukimjua vizuri inaemwamin unaweza ukapata heart attack ukakata roho apo apo. Hata biblia imesema wazi kuhusu hilo.
Ni mungu tu ameamua kutufunulia ili tumjue mtu anaetukana wenzake...
Mitumbwi ilikuwa ndio usafiri serious. Ilikuwa lazima kupanda mtumbwi. Madaraja yalikuwa adimu sana. Ukienda sehemu yoyote, iwe Shule, shamban, sokon, kilabuni, lazima uvuke mto kwa mtumbwi. Wakati mwingine mtumbwi umetoboka unaingiza maji. Kwa hiyo lazima muwe wawili. Mmoja anapiga makasia...
Nimekulia mazingira hayo. Nimeishi kando kando ya ziwa. Kuogelea huku unaona mamba kwa mbali anakuvizia ni kitu cha kawaida. Mkiwa kwenye mtumbwi hivo, kwa nyuma unamuona mamba anakufuata taratibu. Unaona kawaida, unapiga makasia kwenye, maji, mamba wanazama, mnaendelea na safari. Mpaka ng'ambo...
Tatizo la Mbeya sio kuchagua upinzani, hata Arusha na Dar walichagua upinzani lakin serikali haina tatizo nao. Mm kwetu Mbeya lakin naishi Arusha. Arusha kuna miradi mikubwa ya barabara kila kona ya mkoa. Jijin Arusha ndo usiseme. Kuna miradi ya maji karibu kila wilaya, Arusha mjini Kuna mradi...
CAG wetu ana matatizo. Haya mambo anayofanya kujiona hakuna wa kumgusa sio sawa. Ndo Haya haya watu wanayakataa kwa jiwe.
Huwezi kuwatukana wenzako kisa et katiba inakulinda. Na Rais atafanyaje sasa.
Haijawahi kutokea kwa mfanyakazi yeyote wa nchi hii au nchi nyingine yoyote Dunian kuanza...
Hivyo vingine hawezi kusema. Atakuja kuvisema siku vikianza kumsumbua. Au watu watakuja kujumlisha mbil na tatu, then wapate sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hapa ni mjin. Kuna mambo kama haya ingawa hayakuhusisha vifo ili yalishatokea kwa akina mengi na yakawasumbua sana kiasi cha kukubali kutoa share. Lazima kuna watu wanamshauri jinsi ya kucheza hili game.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan. Anataka mjue yeye ndo mrith wake. Kama mke. Hakuna sababu ya kusema hivo na kupost picha alizopiga na marehemu wakati hakuna aliekuwa anajua kuwa wana uhusiano. Lazima ana lengo fulan kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu ubaya uko wapi. Kulipa kodi halali ndio ubaya. Hiyo elfu 20 si ndo ya mwaka mzima. Huwezi kusema mama muuza mtaji wake ni elfu 5, uwe tu muwazi kwa ajili yako. Hapa ulitakiwa useme sheria inasema hivi na huko mtaani kinafanyika hivi.
Ili tuone uvunjifu wa sheria unavofanyika. Kama...
Paskali,
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumkataa CAG kama mtu na kukataa kufanya kazi na ofisi ya CAG.
Huwezi kukataa kufanya kazi na ofisi ya CAG kwa sababu ipo kikatiba na ni takwa la kikatiba bunge kufanya kazi na ofisi ya CAG.
Lakin hiyo ofisi ina watu kadhaa na miongoni mwao ni mkuu wa...
Sisi amabo tumewahi kusafiri nchi mbali mbali za kusini mwa Africa, tunajua jinsi tunavoogopwa na nchi hizo, kuhusu suala la uwezo wa kujieleza tunapopewa nafasi hiyo ikitokea tumepatikana na hatia.
Wana iman kuwa mtanzania ukimpa nafasi ya kujieleza hata kama ameua, ukisikiliza maelezo yake...
Kufungwa sio kuwa mtu anakubali, ni kwamba anazidiwa. Analazimishwa kukubali. Kama kubakwa vile. Unajikuta tu imeingia hata kama hutaki. Kwa hiyo hata kama wangekuwa hawajafuzu kwa kikosi kile lazima tu wangejikuta wamekunywa tatu bila kupenda. Kama vita walivojikuta zimeingia mbili bila...
Ndipo penye mtihan apo. Wanasema kila penye wazungu pana maendeleo kwa sababu wazungu hawatapapinga na hawataiba mali zake, hakutakuwa na hujuma kutoka ulaya au nchi za magharibi. Apo patakuwa na biashara za haki bin haki. No kudhurumiana. Tatizo ni kuwa weusi mtabaki kuwa daraja la tatu, au kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.