Search results

  1. Nguvu ya Ajabu

    Kwa jinsi navyomfahamu Gwajima, atatuambia hadi aliyetengeneza hio photoshop.

    Sio utahira, hii inaitwa kufunguliwa. Yaan unafunguliwa akili ili umjue vizuri unaemwamini. Usipokuwa na kifua ukimjua vizuri inaemwamin unaweza ukapata heart attack ukakata roho apo apo. Hata biblia imesema wazi kuhusu hilo. Ni mungu tu ameamua kutufunulia ili tumjue mtu anaetukana wenzake...
  2. Nguvu ya Ajabu

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Mitumbwi ilikuwa ndio usafiri serious. Ilikuwa lazima kupanda mtumbwi. Madaraja yalikuwa adimu sana. Ukienda sehemu yoyote, iwe Shule, shamban, sokon, kilabuni, lazima uvuke mto kwa mtumbwi. Wakati mwingine mtumbwi umetoboka unaingiza maji. Kwa hiyo lazima muwe wawili. Mmoja anapiga makasia...
  3. Nguvu ya Ajabu

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Nimekulia mazingira hayo. Nimeishi kando kando ya ziwa. Kuogelea huku unaona mamba kwa mbali anakuvizia ni kitu cha kawaida. Mkiwa kwenye mtumbwi hivo, kwa nyuma unamuona mamba anakufuata taratibu. Unaona kawaida, unapiga makasia kwenye, maji, mamba wanazama, mnaendelea na safari. Mpaka ng'ambo...
  4. Nguvu ya Ajabu

    Picha za vivutio wilayani Kyela,nchini na nje ya nchi ,kila siku nitakuwa naweka picha moja,picha zote nimezipiga mwenyewe kwa kutumia kamera na simu.

    Mamba wameokoka siku hizi. Hawa watoto wanatumia uzoefu tu. Hapo wote wanajua vizuri kuogelea. Wakati mwingine ni mungu tu anasaidia.
  5. Nguvu ya Ajabu

    Huu ni ushauri wangu wa manufaa kwa wana-Mbeya. Hatari ni kubwa sana

    Tatizo la Mbeya sio kuchagua upinzani, hata Arusha na Dar walichagua upinzani lakin serikali haina tatizo nao. Mm kwetu Mbeya lakin naishi Arusha. Arusha kuna miradi mikubwa ya barabara kila kona ya mkoa. Jijin Arusha ndo usiseme. Kuna miradi ya maji karibu kila wilaya, Arusha mjini Kuna mradi...
  6. Nguvu ya Ajabu

    Who stands with Job Ndugai?

    CAG wetu ana matatizo. Haya mambo anayofanya kujiona hakuna wa kumgusa sio sawa. Ndo Haya haya watu wanayakataa kwa jiwe. Huwezi kuwatukana wenzako kisa et katiba inakulinda. Na Rais atafanyaje sasa. Haijawahi kutokea kwa mfanyakazi yeyote wa nchi hii au nchi nyingine yoyote Dunian kuanza...
  7. Nguvu ya Ajabu

    Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

    Hivyo vingine hawezi kusema. Atakuja kuvisema siku vikianza kumsumbua. Au watu watakuja kujumlisha mbil na tatu, then wapate sita Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nguvu ya Ajabu

    Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

    Unajua hapa ni mjin. Kuna mambo kama haya ingawa hayakuhusisha vifo ili yalishatokea kwa akina mengi na yakawasumbua sana kiasi cha kukubali kutoa share. Lazima kuna watu wanamshauri jinsi ya kucheza hili game. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nguvu ya Ajabu

    Nandy amlilia Ruge, aonyesha mjengo alikuwa anamjengea

    Nadhan. Anataka mjue yeye ndo mrith wake. Kama mke. Hakuna sababu ya kusema hivo na kupost picha alizopiga na marehemu wakati hakuna aliekuwa anajua kuwa wana uhusiano. Lazima ana lengo fulan kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nguvu ya Ajabu

    MAJANGA: Shoppers (wauza mbegu) wafungasha virago!

    Sasa mkuu ubaya uko wapi. Kulipa kodi halali ndio ubaya. Hiyo elfu 20 si ndo ya mwaka mzima. Huwezi kusema mama muuza mtaji wake ni elfu 5, uwe tu muwazi kwa ajili yako. Hapa ulitakiwa useme sheria inasema hivi na huko mtaani kinafanyika hivi. Ili tuone uvunjifu wa sheria unavofanyika. Kama...
  11. Nguvu ya Ajabu

    Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

    Paskali, Kuna tofauti kubwa sana kati ya kumkataa CAG kama mtu na kukataa kufanya kazi na ofisi ya CAG. Huwezi kukataa kufanya kazi na ofisi ya CAG kwa sababu ipo kikatiba na ni takwa la kikatiba bunge kufanya kazi na ofisi ya CAG. Lakin hiyo ofisi ina watu kadhaa na miongoni mwao ni mkuu wa...
  12. Nguvu ya Ajabu

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Sisi amabo tumewahi kusafiri nchi mbali mbali za kusini mwa Africa, tunajua jinsi tunavoogopwa na nchi hizo, kuhusu suala la uwezo wa kujieleza tunapopewa nafasi hiyo ikitokea tumepatikana na hatia. Wana iman kuwa mtanzania ukimpa nafasi ya kujieleza hata kama ameua, ukisikiliza maelezo yake...
  13. Nguvu ya Ajabu

    Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

    Kufungwa sio kuwa mtu anakubali, ni kwamba anazidiwa. Analazimishwa kukubali. Kama kubakwa vile. Unajikuta tu imeingia hata kama hutaki. Kwa hiyo hata kama wangekuwa hawajafuzu kwa kikosi kile lazima tu wangejikuta wamekunywa tatu bila kupenda. Kama vita walivojikuta zimeingia mbili bila...
  14. Nguvu ya Ajabu

    Unafiki wa kumlaumu sultani na usultani

    Ndipo penye mtihan apo. Wanasema kila penye wazungu pana maendeleo kwa sababu wazungu hawatapapinga na hawataiba mali zake, hakutakuwa na hujuma kutoka ulaya au nchi za magharibi. Apo patakuwa na biashara za haki bin haki. No kudhurumiana. Tatizo ni kuwa weusi mtabaki kuwa daraja la tatu, au kwa...
  15. Nguvu ya Ajabu

    Rais Magufuli na Watanzania, huu ndo ukweli mkavu kuhusu Tanzania 2019

    Tuwen fare kwenu sisi wenyewe. Sisi ni maskin ukitufananisha na nchi nyingine. Lakin sio kwa kiwango hicho. Mpaka sasa hakuna mahali katika nchi hii ambako watu wanakufa njaa., Hakuna mahali ambako watu wameshindwa kufanya shughuli zao za kila siku, kama kulima, kuoana, kwenda Shule angalau ile...
  16. Nguvu ya Ajabu

    Yule ambae humtaki ndio mumeo

    One day utaelewa. Mwanamke kumpenda mtu ni suala la muda. Kama kuna mtu anakupenda, kakufungulia moyo wake, mpe nafasi na jifundishe kumpenda. Lazima ana vitu vitakavyokufanya useme, no I was wrong kumchukia. Akikupenda lazima atakufanyia vitu vitakavyokufanya umpende. Huwezi kumpenda mtu kwa...
  17. Nguvu ya Ajabu

    Mtafute Shafii Dauda popote alipo, umpe salamu zake, na umwambie kuwa: THIS IS SIMBA

    Shafii Dauda ni mchambuzi wa soka ambae yuko negative sana na soka la Tanzania especially Simba. Tangu simba walipoanza kushiriki michezo ya clabu bingwa mwaka huu, amekuwa akitoa maneno ya kuonyesha kuwa simba ni mtoto mdogo na hafiki mbali, huku akizisifia team pinzan. Bahat nzuri kila mara...
  18. Nguvu ya Ajabu

    Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Mkuu jonhthebaptist, Kwa mujibu wa speaker, Nasary hajahudhuria kikao wala mkutano wowote wa bunge wala kamati. Amehudhuria kikao cha kamati cha mwezi huu wa tatu tena huko Moshi. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Nguvu ya Ajabu

    Tundu Lissu: Tutayajua mengi sana endapo Mh. Nassari atafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kufutiwa Ubunge, kama ambavyo nimemshauri

    Hapa kinachoongelewa ni mikutano ya bunge. Na katiba inafafanua wazi kabisa. Wabunge wapo kazin muda wote wa ubunge wao. Na huhudhuria vikao mbali mbali, kuanzia kwenye majimbo yao. Vikao kama vya kamati za ulinzi na usalam wa majimbo yao, vikao vya board za barabara ambazo pia nao ni wajumbe...
Back
Top Bottom