Recent content by ngosh

  1. N

    Ushauri wa biashara na mafunzo ya ujasiriamali kwa gharama nafuu

    Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu ya sh. 20,000 tu. Pia ukitaka kupata huduma zetu tutakupa mafunzo ya ujasiriamali kwa mwaka mzima...
  2. N

    Mshauri wako ni nani?

    Unapolenga kupata mafanikio makubwa katika biashara yako unatakiwa uwe na mshauri wako au mtu wa kushauriana naye. mtu mwingine anaweza kuona umuhimu wa kuwa na mshauri na kuwa tumia watu alionao karibu yake mfano rafiki, ndugu wa karibu, mke au mume wake. Kama unafanya biashara ndogo ndogo...
  3. N

    Maoni yangu kuhusu muelekeo wa taifa letu

    Nimefuatilia majadiliano ya mwelekeo wa taifa letu kuhusu halisi kuwa tunakwenda wapi? Nikiwa mwananchi mzalendo napenda nitoe ya moyoni. Taifa letu, ukirejea Katiba yetu linafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea, lakini katika utekelezaji tuko kwenye mfumo wa soko huria au ubepari. Mimi nashauri...
  4. N

    Namna ya kuchapisha kitabu bila gharama na kuongeza mauzo.

    Jee wewe ni mtunzi wa hadithi, vitabu vya riwaya, tamthiliya au vitabu vya taaluma, na umekuwa hufadiki na kipaji chako cha uandishi? Jee umeandaa kitabu chako lakini umeshindwa kukichapisha kwa kuwa huna pesa? Sasa shusha pumzi ufumbuzi wa tatizo lako umepatikana, unaweza kuchapisha kitabu...
  5. N

    Mpango wa kufuta umasikini Tanzania

    Jee una matatizo ya pesa, unataka kuishi maisha mazuri, gari na nyumba nzuri na pesa za kutosha huku ukiwasaidia watu wengine wenye matatizo ya pesa? Nimejiunga na NGO ya kimataifa, inayofadhiliwa na Makampuni 7 makubwa duniani. NGO hii inawawezesha watu kupata msaada wa mtaji gari, nyumba nzuri...
  6. N

    Mafunzo ya kuwainua vijana kuwa wajasiriamali wakubwa

    Kampuni ya CPM Business Consultants imeanzisha mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo ili kuwanua vijana na watu wote wanaotaka kuwa wajasiriamali wakubwa kwa kuwawezeesha kuanzisha na kukuza biashara zao. Tutawafundisha mbinu za kubuni biashara kama hawana biashara tutawajengea uwezo na kukuza...
  7. N

    Nauza Shamba Eka10 mlandizi

    KITOMONDO
  8. N

    Nauza Shamba Eka10 mlandizi

    Nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari 10 liko eneo la Mlandizi bei ni sh. Milioni 35 bei inaweza kupungua. Kwa maelezo zaidi pigasimu namba 0784394701 CHARLES NAZI
  9. N

    Huduma za Bima kwa wateja namali zao

    Napenda kuwafahamisha kwamba sasa hivi mimi ni Wakala wa Bima. Ninatoa huduma za Bima kwa wateja na mali zao. Huduma ninazozitoa ni kwaajili ya kinga ya majanga yafuatayo; Ajali za Magari, wizi,moto,safari, fedha , udanganyifu wa wafanyakazi , viwanda, vifaa vya umeme,mashine mbali mbali...
  10. N

    Jarida la Kampuni ya CPM Business Consultants

    Kampuni ya CPM Business Consultants ni kampuni inayojishughulisha na kutoa ushauri wa biashara kwa wajasiriamali, imeanzisha jarida lake ambalo litatoa habari mbali mbali za kampuni kupitia mtandao wa internet kama ifuatavyo; Taarifa kuhusu historia ya CPM Business consultants Taarifa za Mafunzo...
  11. N

    Ripoti maalum kwa wajasiriamali kuhusu utajiri

    Tatizo la watu wengi mnapenda kupata mafunzo bure natoa ofa kwa watu wote mnaotaka mafunzo haya bure mje kwenye mafunzo yangu ya ujasiriamali bila malipo na kama hutaridhika na ninachokifundisha hutalipa kitu chochote ila ukiridhika utalipa kiingilio ukija kwenye mafuzo yangu unaruhusiwa...
  12. N

    Ripoti maalum kwa wajasiriamali kuhusu utajiri

    NAMNA YA KUPATA UTAJIRI BILA KUWA FREE MASON Jee unataka kuwa tajiri kwa njia halali bila kuwa fisadi au Freemason? Unataka kupata pesa za uhakika siyo za kucheza michezo ya bahati nasibu? Pata ripoti maalum ya namna ya kuwa tajiri bila kuwa fisadi au freemason kwa gharama y ash. 5,000 tu kwa...
  13. N

    Kitabu cha Mbinu za Biashara sehemu ya kwanza kinauzwa

    Napenda kuwaarifu kwamba kitabu cha mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri kinauzwa. Kwa wale wanaohitaji wanaweza kukinunua kwa bei ya Sh. 6,000 tu. Kitabu hicho kimetungwa na CHARLES NAZI Mkurugenzi mtendaji wa CPM Business Consultants , ambaye pia ni mjasiriamali. Kitabu hiki...
Back
Top Bottom