Ushauri wa biashara na mafunzo ya ujasiriamali kwa gharama nafuu

ngosh

Member
Dec 18, 2014
48
40
Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu ya sh. 20,000 tu. Pia ukitaka kupata huduma zetu tutakupa mafunzo ya ujasiriamali kwa mwaka mzima bila malipo ya ziada tunayoyatoa kwa njia ya WhatsApp.
Huduma tunazozotoa ni zifuatazo;

1. Ushauri namna ya kuanzisha biashara.
2. Kubuni wazo la biashara.
3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
4. Matatizo ya uendeshaji biashara.
5. Matatizo ya kifedha.

Kwa maelezo zadi piga simu au tuma ujumbe kwenye simu namba 0755394701.
Charles Nazi
Mkurugenzi wa
CPM Business Consultants.
 
Back
Top Bottom