nashukuruni ndugu zangu kwa kunitia moyo kwa hilo na hata kwa walionicrush pia thanks sana tu mbarikiwe ngoja nijaribu na nikifanikiwa sawa nisipofanikiwa pia sawa cha muhimu kujaribu tu
sawa kaka zangu nimwewaelewa wakubwa kwa wadogo siku zote tunajifunza kutokana na yale tulioenda vibaya sawa nimesikia ni makosa tu kidogo ambayo yanaweza kurekebishwa nimewaelewa
nashukuruni xana kwa wale mlionisaidia kunifafanulia atleast nina mwangaza wa kutambua any way asanteni mungu awabarki kwa msaada wenu n pia muongezewe kwa mlichonacho naimani ntapata na wale mnaojua kutoa negative comment cio km nawa crush ila maisha ha2end hvyo cdhani km ndo life la xaxa km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.