Recent content by ndegeulaya

  1. ndegeulaya

    Utapeli mwingine wa vodacom cheka-packages leo jumamosi 10/8/2013

    ... Ebu kila mtu a'shee' experience yake hapa if he/ or she ever had one to share wit us ...
  2. ndegeulaya

    Mtangazaji wa Taarifa ya Habari (TBC1) na Tai ya Chadema!

    Kwa namna gani mkuu, em tufafanulie kidogo uchambuzi wako ...
  3. ndegeulaya

    Mtangazaji wa Taarifa ya Habari (TBC1) na Tai ya Chadema!

    Habari waungwana ? I must be honest with myself, kwa kweli leo nimeshangazwa sana na mtangazaji wa TBC1 Habari ya saa 1 asubuhi kwa kitendo chake cha kujitabanaisha na chama makini kwa kuamua kuvaa tai yenye rangi za bendera ya Chadema ndani ya Studio za TBC1. Nimeshangazwa na hilo, hasa...
  4. ndegeulaya

    Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

    kwaniadcnimdogowacdmamanimdogowaccmmkuu ...
  5. ndegeulaya

    Masikini Edward Lowassa

    Itakuwa viwanja gani wakuu ?
  6. ndegeulaya

    Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

    u mean Peoplezzzzzz, ama ni ADC Mkuu ....
  7. ndegeulaya

    To all JF Chit-Chatters Out there @ Past the Hour of 01:00 ...

    ... a beer is a beer, -being it a Safari Lager, Pilsner Ice, Tusker Premium or whatever you call it .... ! Discuss. (5%)
  8. ndegeulaya

    Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

    Ha ha ha ha! Kaazi kwelkweli!
  9. ndegeulaya

    Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

    Hahaha, mnaona sasa? Mi nlishawatabiria kitu hapa, make nlijua watakuja tu, wapi Erickb52 ?
  10. ndegeulaya

    Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

    Hiyo ndio JF mkuu, nyumba ya wadadavuz.i!
  11. ndegeulaya

    Hii ni Maalum for 'JF Mobilers Only'!

    ... subiria wanaitikadi waje !
  12. ndegeulaya

    Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

    Dah, mkuu K.K, lakini hapa mi naona ni huyu mzee (Dr. Rushwa) ndo anakuwa na biashara za kiswahili, manake ye si alitaka Milioni 10 ? sasa shida inatoka wapi tena!
  13. ndegeulaya

    Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

    Kwamba tutumie real estates agencies ndo ili iwe vipi, em nifafanulie kidogo mkubwa ....
  14. ndegeulaya

    Bei yangu ni Mil. 10, haipungui Mia!

    Hivi hii nayo huwa imeekaje wazee wakubwa ? Muuzaji anauza nyumba yake kwa Mil. 10 ...! Dalali kamseti mnunuzi kwa Mil. 15 ...! Mnunuzi karidhia bei bila tatizo ...! Muuzaji anaona kaibiwa Mil. 5 ...! Source: Ze Comedy Show ...!
  15. ndegeulaya

    CHADEMA: Suluhu ni Mkapa kurudi Arumeru Mashariki kuomba radhi

    Dah! Sasa na wewe huo mkono kuupeleka huko chini ndo manake nini, kipima joto ama? Na huyo mwingine anaekufunua huko juu nae anataka nini sasa, kukupima joto pia, ama? Kaazi kwelkwel !
Back
Top Bottom