Recent content by NAUREEEN

  1. N

    Biashara ya Duka la Jumla

    Thanks so much kadafi, I appreciate
  2. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    haya basi chei chei........
  3. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    yani hupati tabu kuwajua....
  4. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    utawajua tu.....
  5. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    utawajua tu.......mapenzi ni zaidi ya unavofikiria..think wise and be gentle
  6. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    ndio nyie nyie tunaowasema..utawajua tu.....
  7. N

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Asante sana kwa ushauri, mimi mchele nalima mwenyewe mpunga nalimia Mbeya, hivo nakuwa nauza mchele kutoka Mbeya. Pia, sijakuelewa kuhusu wenyeviti wa masoko. Kwamba wao watanisaidia kujua bei za mchele kwa soko husika,hao wenye viti wanakuwa na uzoefu wa kiasi hicho,of course its true...
  8. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    tunataka watu ambao ni wanaume tena wanaojitambua kuwa ni wanaume...binafsi mwanaume ambae hajitambue na kujua nafasi yake huwa naona kama analazimisha kuwa nafasi ya mdada ni kama hakuridhika kuzaliwa mwanaume vile!!!sasa wewe unaringa...huo ni uanaume kweli jamann?? issue sio utaifa ni...
  9. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    inaonekana ujumbe umekufikia vizuri na utajirekebisha.
  10. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    sure..ila na wenye pesa wawe na heshima watabaki na pesa zao bila wake wenye furaha.
  11. N

    Wanaume wanaojitambua bado wapo

    Nimekuwa nikikutana na wanaume ambao hawana heshima kwa wanawake hata umnyenyekee vipi.. na sio hivo tu bora basi hata kitandani awe vizuri hajui kitu, Ila dharau na jeuri vimemjaa hana heshima kwa wanawake.. Maringo utadhani mwanamke,unamtumia msg hajibu,simu hapokei,..mimi nikadhani ndio...
  12. N

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Dears wana JF Naomba ushauri kwenu nataka kufungua duka la mchele na nafaka zote kwa ujumla na vyakula mbalimbali,ni wapi ambako nnaweza nikapata frame ambako biashara hiyo itatoka vizuri,yani kuna uhitaji sana na ununuzi wa hizon bidhaa? Mchango wenu ni mafanikio yangu. Eneo ni Dar es...
  13. N

    Called for an Interview-Clalon Technologies

    Habari wana JF Mimi nimepigiwa simu jana na hawa watu interview ipo jumatano posta house opposite na wizara ya mambo ya ndani ,naomba kuuliza kama kuna yoyote kaitwa au kama kuna yoyote ana information zozote, niliapply last year november accountant and admnista officer
Back
Top Bottom