Recent content by Nassor Mwanaharakati

  1. N

    modemu rahisi kuchakachua

    ni modemu ya aina gani rahisi kuchakachuliwa
  2. N

    msaada

    ni modem gani saiv ambazo zinachakachulika , ahsanteni
  3. N

    habari zenu msaada wa haraka

    habari, mm nataka msaada wa software ambayo itaniwezesha kudownload books bure , vitabu vya kununua ila mm nataka kudownload bure nifanyaje?
  4. N

    2nd way ya kutuma sms free!

    tuma neno fb kwenda namba 15666 baadae watskuletea code pia send hizo code kw namba hiyo hiyo 15666
  5. N

    msaada wa haraka

    Ok nashkuru kwa maelezo yako subir nijaribu then nntakujuvya
  6. N

    msaada wa haraka

    Ndio nna uhakika inayo hiyo sehemu coz nimeingiza line kutest na sio sehemu ya kuingiza reader. Ni dell latitude E4300
  7. N

    Kwa waliosoma BACHELOR OF IT tu.

    kijana sio alsima IT tuu ndie anaweza hata ss wa Law pia tunaouwezo huo so kuwa makini katika kuelezea humu hatubaguani sote ni wamoja katika technologia ndi maaana tunasaidiana kwa kila hali. Wee ukitaka course ya chuo fulani fungua website yao then nenda kwenye prospectus yao then hapo utaona...
  8. N

    msaada wa haraka

    Nna computer ina sehemu ya kuingiza lain so nifanyaje ili niweze kuitumiaa. Computer ni dell
  9. N

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Ni kweli uyasemayo Mzumbe kwa sasa ipo juuuuuuuuuuiiiiiiiuuuuuui so
  10. N

    ubuntu inanisumbua

    All in all Ubuntu ipo juuuuu
  11. N

    kupata frequency za radio kwenye iphone 3g

    Poa sanaaa kwa maelekezo yako upo juuuuu sasa na enjoy na radio tofauti tofauti big upppppppp!!!!!!!!!!!!
  12. N

    kupata frequency za radio kwenye iphone 3g

    Nisadiwe ni prigram gani natakiwa kudownload ili kuweza iphone kushika radio mbali mbali
  13. N

    msaada wana jf

    Mm nina modem ya airtell so ili kutaka kuchakachua ni mambo yepi muhimu kuwa nayo kama software ipi ni download baaadae ili niendeleee na hatua nyengine. Thnx
  14. N

    Jinsi ya kutuma message bureee!!!

    sio bure kama mnavyibishana ila harama ya sms ni zaid ya bure coz sms kutuma nje ya nchi ni kama sh 100 Asante mkuuu kwa maelezo ya zaid ya bureeeeeeeeee
Back
Top Bottom