Recent content by Nasolwa

  1. N

    Mwanafunzi wa aina hii watanifanya nifungwe miaka 30

    Anza kufanya mazoezi ya jinsi ya kulala na ndoo ya haja kubwa chumba kimoja
  2. N

    The Most Stupid

    4 ni mjinga kwa sababu mti ukikatika atakaye anguka ni yeye mwenyewe
  3. N

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakati mwingine kwenye mambo serious inafaa kuuficha kidogo ujinga
  4. N

    Huyu mtu sijui huyu mtu anataka nini. Kuvua nguo namna hii

    Hata wewe ni roboti saa nane upo online!!!!????
  5. N

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Polepole anaturingishia kwamba kapanda ndege ya bure mpaka Namibia. Hongera kwa kupanda ndege dogo
  6. N

    ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa wapatikana wakiwa wamekufa

    Matukio ya kinyama kama haya ndio huwafanya baadhi ya watu kujichulia sheria mkononi.
  7. N

    Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

    Angepimwa mkojo huyu
  8. N

    Alichokifanya Makamu wa Rais wa US alipotembelea waliofikwa na majanga Texas

    Huyu ni mfariji mkuu msaidizi wa ukweli
  9. N

    Hii nayo ni mission Imposible

    Pesa sabuni ya roho
  10. N

    KIPANYA ANAWEZA TUMUELEWE

    Kipanya huo utaambiwa ni uchochezi mdogo wangu
  11. N

    Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

    ....Halisikii dawa
  12. N

    Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

    Wewe temea chini na omba MUNGU yasikukute. Sidhani kama Mzee Malecela aliomba kuzaa toto kubwa jinga kama hili
  13. N

    Huu ndio muonekano mpya wa Ommy Dimpoz

    Anafanana na Grace wa Sinza kijiweni
Back
Top Bottom