Hivi wanafikiri kuolewa ndio suluhisho la furaha zao katika maisha ? Wajitume wafanye kazi ya kuwawezesha angalau kuishi maana kila nchi duniani wanawake ni wengi sana kushinda wanaume waliopo na kamwe wanaume hawewezi kuoa wanawake wote waliopo.
Jitambue Kijana usiropoke tu , kama vitabu havipo Kanunue Bookshops vimejaa kama huweza kuingia kwenye mitandao kusearch vitabu . Acha ulevi na Uasherati hivyo utavipata ukimaliza kilichokutuma chuoni
Kauli ya Mizengo Pinda aliyoitoa kuwapa ruksa POLICCM ndio imeanza kutekelezwa rasmi sasa . Watawala wa Tanzania ndio wanachochea MIGOGORO nchini wanapaswa kulaaniwa kwa nguvu zetu zote
Huyu Waziri wa Nishati wa sasa hivi ndio hana jipya kuweza kuwapiku wenzie waliotangulia mbele yake . Tatizo ya Siasa kuingiza kwenye fani ndizo kikwaza kwa hii Tanzania yetu . Pia mengi ya Mashirika yetu hapa nchini yamefunga shughuli zake kwa sababu tu ya Wanasiasa kuingiza mikono yao ya...
Kweli Pinda ni jitu zima la hovyo ! Hata aibu hana anaongopa mchana kweupe ... ! Haki ya Mungu Viongozi wa CCM ni janga la kitaifa . Anastahili kuhukumiwa kwa kutumia madaraka ya Ofisi yake vibaya na kuhujumu fedha za walipa kodi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.