Search results

  1. N

    Baada ya zee lake kutumbuliwa jipu karudi kwangu kwa magoti

    Uamuzi ni wako kaka maana wewe ndiye unajua jinsi gani mnapendana lakini kwa sababu alikutosa huna sababu ya kumruhusu kumruhusu ,ukarimu utakuponza !
  2. N

    Exclusive Interview! Mada: Kuna haja ya kuwa na Communication Privacy kwa Wapendanao?

    Kama hakuna kitu chochote cha kuficha haina shida yoyote :Lakini kuheshimu faragha za mwenzi wako ni muhimu sana kuhakikisha unatimiza.
  3. N

    Mulugo: Division Five haipo na sifuri ipo palepale

    Anayeaminika hapa Professor Mchome, huyo Phillipo Elimu yenyewe hana huenda hajui hata maana ya Division 5 ni ni kitu gani anajiropokea tu
  4. N

    Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    Aibu kubwa kwa mtu mzima kuitwa kibaraka wa CCM !
  5. N

    Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Hakupendi sasa zungumza nae ama usuke au kunyoa maana ni heri kuvunja uchumba kuliko kusubiri mfunge ndoa kisha ivunjike hakika utaumia sana sana!
  6. N

    Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

    Hivi wanafikiri kuolewa ndio suluhisho la furaha zao katika maisha ? Wajitume wafanye kazi ya kuwawezesha angalau kuishi maana kila nchi duniani wanawake ni wengi sana kushinda wanaume waliopo na kamwe wanaume hawewezi kuoa wanawake wote waliopo.
  7. N

    Mtambo wa Dawa za kulevya waingizwa nchini, upo Mbezi Beach!

    Hayo ni majanga hii nchi haina mwenyewe!
  8. N

    Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    Jitambue Kijana usiropoke tu , kama vitabu havipo Kanunue Bookshops vimejaa kama huweza kuingia kwenye mitandao kusearch vitabu . Acha ulevi na Uasherati hivyo utavipata ukimaliza kilichokutuma chuoni
  9. N

    Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Pole sana Wanajumuia wa UDSM kwa msiba uliowafika Mizengo Pinda na wenzake walaaniwe sana !
  10. N

    Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

    Kauli ya Mizengo Pinda aliyoitoa kuwapa ruksa POLICCM ndio imeanza kutekelezwa rasmi sasa . Watawala wa Tanzania ndio wanachochea MIGOGORO nchini wanapaswa kulaaniwa kwa nguvu zetu zote
  11. N

    Waziri; TANESCO imeshindwa.....

    Huyu Waziri wa Nishati wa sasa hivi ndio hana jipya kuweza kuwapiku wenzie waliotangulia mbele yake . Tatizo ya Siasa kuingiza kwenye fani ndizo kikwaza kwa hii Tanzania yetu . Pia mengi ya Mashirika yetu hapa nchini yamefunga shughuli zake kwa sababu tu ya Wanasiasa kuingiza mikono yao ya...
  12. N

    John Mnyika: Pinda ni muongo

    Pinda kulia ndio jadi yake na sura yake mbaya Uwongo kwake ni jambo la kawaida
  13. N

    Pinda: Serikali haikuunda tume ya matokeo ya kidato cha nne bali iliunda 'kikundi kazi'

    Kweli Pinda ni jitu zima la hovyo ! Hata aibu hana anaongopa mchana kweupe ... ! Haki ya Mungu Viongozi wa CCM ni janga la kitaifa . Anastahili kuhukumiwa kwa kutumia madaraka ya Ofisi yake vibaya na kuhujumu fedha za walipa kodi
  14. N

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Duuu , hii kali ... !!
  15. N

    Polisi waanza kuwafuatilia waliomtukana Spika

    Polisi kweli hamnazo , Matukio mangapi mabaya kuliko hili yametokea hamfuatilii mnakunywa bia ? Acheni unafiki au kwa kuwa ndio wahusika wakuu wa mauaji ya raia wasio na hatia ? Huyo Spika ni nani hadi asiambiwe ukweli wakati anaboronga kitini kwake tena kwa waziwazi ? Nguvu ya umma ndio inaanza...
  16. N

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    Poleni sana Jamani Mungu awape uponyaji wa haraka .
  17. N

    Ufisadi wa kutisha TANESCO, Mbunge aliuzia matairi mabovu

    Hongera sana Prof . Muhongo na Maswi kwa utendaji uliotukuka . Safisha uozo ndani ya Tanesco...Sasa nimeamini kwamba kumbe Waziri bora asiwe Mbunge , ila atokane na uweze wake wa kuchapa kazi na kupambana na maamuzi magumu kwa usahihi zaidi wenye kuleta tija kwa maslahi ya Taifa .
  18. N

    MD Mhando si tu kupisha anatakiwa aonekane mahakamani na Mh. Mkono akatiwe ulazi wa kifisadi

    Duu ! Hii kali kama tender watu wanaandikishana bedroom nomaaa hii ! ......... Hii kesi tayari inamtafuta mtu ... Mhando upooooooo ???
  19. N

    HOTUBA ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani - Wizara ya Nishati na Madini 2012

    Hongera kambi rasmi ya upinzani kwa hotuba nzuri ...
Back
Top Bottom