Recent content by Nakadori

  1. Nakadori

    Makadirio ya ujenzi

    Yupo dar ila hata mikoani anakuja Mpigie umujlize
  2. Nakadori

    Wachukie Wasukuma uwezavyo lakini kaa ukijua wamebarikiwa sana

    Wasukuma wengi wa mjini wamekuwa wapigaji tuu bora wa huko ngudu
  3. Nakadori

    Makadirio ya ujenzi

    Mpigie huyu mzanzibari pia ni mwana jf atakupa accurate figure maana ndo kaz yake aliyosomea
  4. Nakadori

    Heri ya Noeli wanaJF. My beloved mama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

    Pole Karibu kwenye chama cha mayatima Yatima hadeki
  5. Nakadori

    Wadada wanaofaa kuolewa

    Hao ws full package labda mkaumbe wa kwenu. Nyie wenyewe sio full package alaf mnataka full package... ndo maana ndoa siku hizi hazidumu. Hayo ya kuwa full package waliweza bibi zetu tu
  6. Nakadori

    Wadada wanaofaa kuolewa

    Hahaha πŸ™ŒπŸ€£πŸ€£
  7. Nakadori

    Wadada wanaofaa kuolewa

    Alaf wanaume wanapofwata wanawake kuna vitu tofauti wanafwata kwa wanawake.. Yuko me anayempendea mwanamke mapishi Yuko me anayempendea mwanamke sex Yuko me anayempendea mwanamke appearance tu Yuko anayependa kingine n.k n.k Sasa kupanga ni kuchagua kama ulinipendea lingine alaf tumefika ndoani...
  8. Nakadori

    Wadada wanaofaa kuolewa

    Kwan amenioa nikapike?? Kupikiwa ni offer tu huwa tunatoa....
  9. Nakadori

    Wadada wanaofaa kuolewa

    Abee Eti wa kuolewa waweje? Me mbona siko hivyo ila jf imeshanipatia mume na danga vyote kwa pamoja ...kazi ni kujigawa tu mda gani wa danga na mda gani wa main road
  10. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mwishoni kila mtu atafunga hesabu Mwingine hesabu ya matusi Mwingine hesabu za dollars (say it again ....dollars )
  11. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    Kazi ziendelee Sina cha week end... πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  12. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡ Veepe kuna tusi jipya kwenye kamusi yenu?? Napita kwa kucheza kwakweli. Pale ambapo najua Mungu halali wala hasinzii. And you know what??? Publicity is publicity
  13. Nakadori

    Nimeamini mjini akili tu

    Code siifungui hata mniite majina yote mabaya yaliyoko dunian. Kikubwa I make my living though legal ways ....I don't care backing dogs wanachosema. Siku zote mbwa anambwekea asiyemfahamu.
Back
Top Bottom