Recent content by najua

  1. N

    Msaada mashine ya kuchapisha vitabu

    kama unataka kuchapa vitabu vyako mwenyewe ni bora ukaanza kuprint india au china angalia soko likoje na ndio upime kama kununua mashine zako ni swala sahihi. Wa tz vitabu hatusomi
  2. N

    Nahitaji kujaza wino wa printer

    ingia youtube tafuta video how to refill hp 1132, itakuwa rahisi ukipata video yake. Toner/ unga wake unapatikana mtaa wa congo na msimbazi mbele ya duka la furaha bookshop
  3. N

    Ushauri wa Harusi ya gharama ndogo

    hatupati feedback
  4. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    still on establishment
  5. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    bado ndio natafuta partner kuanzisha. Ni kama event management lakini siwezi sema moja kwa moja ni hivyo. Ofice itakuwa dar
  6. N

    Maxence Melo: Sheria ya Uhalifu wa Kimtandao, Wengi wameanza kujitoa kwenye Magroup

    nilisikia bungeni wakati wakiichambua na alikuwa tundu lisu nadhani kuwa ukipokea usiporipoti inakula kwako na ukifuta umeharibu ushahidi kosa jingine.
  7. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    hapana, ni biashara itakayokuwa na wafanyakazi jinsia zote na sio mmoja ni wengi na huwezi fanya kitu kinahusu sherehe au events na wadada wasichukue nafasi yao. Partner katika biashara ambaye ameolewa hapana nafanya biashara since 2009 naelewa matatizo yake. Na sio lazima mdada . Nahitaji mtu...
  8. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika usiku awe tayari kwa hilo, mkazi wa dar . Awe na uwezo wa kushawishi ,ukiwa unafahamu...
  9. N

    Natafuta partner wa biashara, mtaji ni mdogo tu

    Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika
  10. N

    Graduates, how do you survive?

    sasa we unaona ni bora aombe hela kwa watu sababu anadegree. Bakharesa na utajiri wote anauza chapati na maandazi
  11. N

    HAO (Joh Makini) Vs FID Q.COM

    Hawaogopi hata kusema kusema hukumu imekaribi ..... , joh hapo alipatia kila kitu
  12. N

    Mwalimu Commercial Bank IPO

    kama uko serious unataka kununua ni pm. Karibu kila siku nafuatilia trend ya soko
  13. N

    Lumia 520 imejilock

    Holding Volume down and camera na power buttons. Niligoogle sehemu.
Back
Top Bottom