Recent content by Mzalendo120

  1. M

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Mtu asienachogo kabisa hayupo vizuri magorofani.
  2. M

    Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    Kumbe bungeni kunajina kama hilo? Kwahiyo kupatatu maji inatosha sasa hakuna kingine. Wabunge kama hao wanakujaga kizimia kama kura zikihesabiwa ipasavyo
  3. M

    Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

    Hivi kumbe hata tulia ni mrembo? Nimeulizatu maana tafsiri ya urembo ni pana
  4. M

    Inakuaje gari ni mpya ila namba ni ya zamani

    Wengine wanaweka plate namba za zamani wakikwepa kodi. Huonekana kama gari ni chakavu kumbe sio
  5. M

    Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums, leo Mei 9, 2024

    Kwanini asitumie jina lake halisi? Ndio anaonesha kama nikiongozi tofauti na akina dk. Gwajima
  6. M

    Waziri Nape Nnauye atembelea Ofisi za JamiiForums, leo Mei 9, 2024

    Mambo yanabadilika sana. Eti huyo leo ndio anawatembelea Jf!!! Hahahaa siasa inawavuruga watu
  7. M

    Kwanini app za mikopo ya mtandaoni zinatumia picha za wanawake warembo kutangaza biashara zao?

    Ile Tulia na Jokate foundation jichanganye ndio utajua nchi inamatapeli
  8. M

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Ngoja hao wanaoita wenzao machogo makubwa waje
  9. M

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    TAKUKURU unaijua au unaisikia? Hujamsikia JPM aliposema TAKUKURU pia inabidi waundiwe TAKUKURU yao? Wasumbufutu hao
  10. M

    Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Sidhani aisee maana kwamaelezo yake inaonekana anadhani wanachuo wakipewa boom ndio wanalipa ada sasa anataka eti walipiwe ada mojakwamoja
  11. M

    Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Wewe jamaa mbona unamtoa mbunge kwa chama chake na unamjumuisha na maadui zake kisiasa?
  12. M

    Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Naona labda anataka walienjaa akawanunuze
  13. M

    Kufika 2025 petroli lita itakuwa 7,000/=?

    Eti kuna waziri anasema mama kapunguza vifo. Huo sio ushirikina kweli na uchuro?
Back
Top Bottom