Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kulalamika hadharani ni njia bora zaidi kama mifumo imesinzia!! Inamuumbua mhusika lakini pia inaziamsha mamlaka!! Unawezaje kuiona kwamba hii siyo njia sahihi bila kuwa hata na suluhisha kama wewe pia SIYO TAPELI?? Sisi mnaotutapeli kila siku anatufariji sana Makonda
Makonda Bomayee. 🙏 !

Ngoja tuone !
 
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Uthubutu tu wa kuanzisha jambo binafsi naona unasaidia sana kuliko kutokufanya. Makonda endelee tu bila kujali limevuka mipaka gani, maana hao wenye mipaka yao hawafanyi kitu.
 
Kulalamika hadharani ni njia bora zaidi kama mifumo imesinzia!! Inamuumbua mhusika lakini pia inaziamsha mamlaka!! Unawezaje kuiona kwamba hii siyo njia sahihi bila kuwa hata na suluhisha kama wewe pia SIYO TAPELI?? Sisi mnaotutapeli kila siku anatufariji sana Makonda
Njia sahihi ni watu wote kufuata utaratibu wa kimahakama au usuluhishi wa wanasheria kupata haki zao, ni jambo baya sana kuvigeuza vyombo vya dola kuwa wagawa haki, hiyo ni mifumo ya Kangoroo courts.
 
Mkuu nakubali unachosema. Ila kwa Sasa tupo desperate hivyo ni Bora atakaye tusaidia hata robo au nusu kuliko ambaye hawezi kutusaidia.
Hizo Kangoroo courts zinaweza kutuliza mambo kwa muda mfupi tu ila huwa zinaweza kugeuka na kuwa mwiba mkali.
 
Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.
Makonda amesema ni ngumu kupata haki mahakamani, anajua ni kwa kiwango gani mahakama zimeoza. Hivyo ametumia udhaifu huo kupatia kiki, badala ya kuhakikisha mahakama zinafanya Kazi kwa usahihi!
 
Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.

Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Makonda Bomayee !
Makonda for Presidency 2030 !!

Ngoja Tusubiri tuone !
 
pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
 
Vyombo vya dola sio wagawa haki, mahakama pekee ndio kinapaswa kuwa chombo cha ugwaji haki na maamuzi ya nani ana haki. Kinachopaswa kufanyika ni mfumo wa Mahakama uboreshwe watu wasikimbile vyombo vya dola kupata haki kwa sababu ni precedent mbaya sana.
Mahakama iliyomwachia Gaidi 🐼
 
pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Duh 🙄. !!
 
Ipo siku mtanielewa vyema napomuona na kuwaambini kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda kama kiongozi Mwenye uchungu na maisha ya watu wanaonewa na kunyanyaswa. Ipo siku mtafahamu kuwa Mwamba Makonda anapigwa vita na kushambuliwa na kuchafuliwa na watenda maovu ,wezi,matapeli,wauza madawa ya kulevya ,madhulumati na ambao matumbo yao yamejaza chakula cha dhuluma. Makonda amejitoa na kujitolea kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kusaidia na kuhakikisha watu wanapata haki zao.

Nitaendelea kumsemea na kutetea Mwamba Makonda hata nikiitwa chawa na kutukanwa matusi yote. Lazima mfahamu hatari kubwa iliyopo kwa mtu kupambana na wenye pesa au mamlaka au vyeo vikubwa wanaotumia nafasi zao kuonea watu na kuwakandamiza. Lakini Mwamba Makonda ameamua kutoa na kuhatarisha maisha yake kwa ajili ya kuwapambania wanyonge. Halafu anatokea mlevi mmoja na mabango yake kichwani anaropoka mitandaoni au hadharani eti kuwa ni maigizo.hii yote ni kutaka kumkatisha tamaa Mwamba Mwenyewe Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Soma historia za Hitler na Mussolini uone jinsi madictator hao walivyoigiza Hadi kuingia madarakani, na baada ya kuingia madarakani ni uovu wa kiwango gani walifanya. Kama kweli Makonda ni mpenda haki, angehakikisha mfumo wa mahakama unafanya kazi kwa usahihi. Madictator wote huanza kwa hizo hadaa za Makonda.
 
Makonda anachofanya ni mind manipulation

Anawachota akili watu wenye upeo mdogo kwa kuwapa tumaini lisilotekelezeka.

Tukianza na utapeli - watz wengi ni matapeli Sana ukimkopa halipi , sasa wanapoona kuna mikopo mtandaoni huwa wanaanza kukimbilia ili wakope hela za bure na hapo ndo huishiwa kutapeliwa vibaya mno.

Makonda tangu amekuwa mkuu wa DSM ametatua kero ngapi?

Je Magufuli katatua kero ngapi?

Siasa ni Mchezo wa kuchota hisia Ila hakuna MTU ambaye mambo yake yatakuja kuwa solved kwa kumsikiliza makonda pasipo yeye kuwa responsible.
 
pigia mstari huyo tapeli ana baraka zote za hao wakubwa wa nchi. ukizaliwa afrika ni laana unayopaswa kupigana ama na wewe na lineage yako muwe high table au uondoke kwenye bara hilo la kuzimu.
nashukuru Mungu siishi huko ukimani.
Naunga mkono hoja.
 
Makonda anachofanya ni mind manipulation

Anawachota akili watu wenye upeo mdogo kwa kuwapa tumaini lisilotekelezeka.

Tukianza na utapeli - watz wengi ni matapeli Sana ukimkopa halipi , sasa wanapoona kuna mikopo mtandaoni huwa wanaanza kukimbilia ili wakope hela za bure na hapo ndo huishiwa kutapeliwa vibaya mno.

Makonda tangu amekuwa mkuu wa DSM ametatua kero ngapi?

Je Magufuli katatua kero ngapi?

Siasa ni Mchezo wa kuchota hisia Ila hakuna MTU ambaye mambo yake yatakuja kuwa solved kwa kumsikiliza makonda pasipo yeye kuwa responsible.
Sahihi kabisa
 
Binadam wengi huamini Kazi ya Mahakama ni Kutoa Haki LAKINI kiukweli Kazi ya Mahakama ni Kutafsiri Sheria na Kuhukumu

Hukumu ya mahakama siyo lazima iwe ni ya HAKI bali ni lazima iwe inatafsirika kwa mujibu wa vifungu vya Sheria na Katiba

Ikumbukwe HAKI hutolewa na Mungu wa mbinguni Mwenyewe

Ndio sababu Nje ya mfumo wa Mahakama Dunia imeweka Wasuluhishi

Usuluhishi Ndio Kazi anayofanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda

Mathayo 5:9 Heri Wapatanishi maana hao Wataitwa Wana wa Mungu wa mbinguni

Nawatakia Dominica Njema 😃
 
Back
Top Bottom