"E="kuku mweus, post: 28068553, member: 490171"]Wataanza kutoa kejeli kama hawatakua wanashirikishwa
Afu kibaya wengi ni wajita majungu tupu
Hasa yule Mwalimu aliye ipandisha, japo amepewa nafasi katika bench la ufundi, lakini anaonekana hakubaliani na hilo, asipo dhibitiwa ataanza kuingilia...
Dully Sykes Alisha imba na plutnumz je nae kapotea? Mr. Blue nae alikwisha imba na Diamond je nae kapotea? Ali Kiba Alisha imba na Mond (Lekaditugite) vipi na yeye kapotea? pia Prof Jay Alisha piga Collabo na Baba Tiffah nakuuliza naye kapotea? Usisahau A.Y amekwisha dondosha collabo na mtoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.