Hizo ni biashara za kimataifa.. huwezi ufanya kila kitu mwenyewe.. ipo mikataba ya biashara... mfano hapa tz ili uweze kuanzisha kampuni ni rahisi sana mkiwa wamiliki zaidi ya mmoja ( mnaweka hisa)...
Hii SMO namna inaelekea mwisho... hata majadiliano ni kama vile.. mengineyo kwenye kikao.. Big Up sana kwa Team Russia.. Mottochin unatisha sana kwa updates... ura..
Si muda mrefu Zelensky atakufa kifo kama cha yule Mwamba wa Wagner... baada ya hapo anaingia kiongozi mwengine kwa maelekezo na US namna kuweka pause ya vita kupitia mikataba na US ndio atakuwa Mlinzi wa Ukraine... Security Gurantee..
Nchi za Ulaya na America.. wao wamekalia vikwazo.. misaada wanayotoa sasa hv ndio wanatumia kama silaha... hii inafikirisha sana... Africa Unite-Rest in Peace Bob Mary..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.