Search results

  1. Msambaa mkweli

    China na kuzindua ndege yake C919 lakini vitu vyote vinatoka kwa wababe wake

    Hizo ni biashara za kimataifa.. huwezi ufanya kila kitu mwenyewe.. ipo mikataba ya biashara... mfano hapa tz ili uweze kuanzisha kampuni ni rahisi sana mkiwa wamiliki zaidi ya mmoja ( mnaweka hisa)...
  2. Msambaa mkweli

    Biden anagombea tena na atashinda

    Rubbish.. matapishi.
  3. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hii SMO namna inaelekea mwisho... hata majadiliano ni kama vile.. mengineyo kwenye kikao.. Big Up sana kwa Team Russia.. Mottochin unatisha sana kwa updates... ura..
  4. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kiongozi nafurahi sana kwa jinsi unavyotupa update... Big up sana... uraa..
  5. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Si muda mrefu Zelensky atakufa kifo kama cha yule Mwamba wa Wagner... baada ya hapo anaingia kiongozi mwengine kwa maelekezo na US namna kuweka pause ya vita kupitia mikataba na US ndio atakuwa Mlinzi wa Ukraine... Security Gurantee..
  6. Msambaa mkweli

    Video: Urusi kunawaka moto, depo kubwa ya mafuta imelipuliwa na drone

    Cha muhimu mashambulizi yakigeukia Ukraine usije kulialia 😀
  7. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jiulize swali..anaposafiri anatumia ndenge na bendera ya nchi yake????
  8. Msambaa mkweli

    Mkao wa Vita: Viongozi wa Kijeshi wa Niger wajiandaa kikamilifu kwa vita

    Soko la silaha za Marekani na Ulaya...
  9. Msambaa mkweli

    Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

    Nchi za Ulaya na America.. wao wamekalia vikwazo.. misaada wanayotoa sasa hv ndio wanatumia kama silaha... hii inafikirisha sana... Africa Unite-Rest in Peace Bob Mary..
  10. Msambaa mkweli

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Wachanga wameweka mbele Elimu, Wengi Wakristo(hii ina background), hawaendekezi mapenzi wala ushirikina....
  11. Msambaa mkweli

    Hivi Putin hana washauri, katoa hongera, ngoma bado, jameni aibu

    “I think, no,” he said before a meeting with US President Joe Biden in Japan. “For today, Bakhmut is only in our hearts.”
  12. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    “I think, no,” he said before a meeting with US President Joe Biden in Japan. “For today, Bakhmut is only in our hearts.”
  13. Msambaa mkweli

  14. Msambaa mkweli

  15. Msambaa mkweli

    Zelensky athibitisha kuwa Bakhmut yote imetekwa na Urusi

    “I think, no,” he said before a meeting with US President Joe Biden in Japan. “For today, Bakhmut is only in our hearts.”
  16. Msambaa mkweli

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tutazidi kuwachinja🍉🍑🍒🍅🥔🥝🍆🍎🍑 muda mwengine uje na facts..
Back
Top Bottom