Recent content by mpine peter

  1. mpine peter

    Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

    Nchi inalindwa kwa silaha.
  2. mpine peter

    Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

    Kinana amekamata nafasi kwa maslahi mapana ya chama 2025. Ccm wana akili sana.
  3. mpine peter

    Ukraine yatangaza hali ya hatari

    Ivumayo sana, haidumu.
  4. mpine peter

    Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

    we mtoto wa kiume, nenda kajifunze uzalendo. ni muhimu sana kwa wakati huu.
  5. mpine peter

    Hydrogen gas

    huyu jamaa ni wa kupuuzwa, hana maana.msijauona mchango wake hapa.
  6. mpine peter

    Kulala kwa Lowassa Msibani kuwe Funzo kwa Wapiga kura Tanzania

    uliyoandika yanakupendeza wewe tu.
  7. mpine peter

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    tupieni picha tusherehekee wote
  8. mpine peter

    Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    unapokuwa mtanzania halisi na unaanzisha huo uzi,, ina maana gani kama hautoi ushauri wa nn kifanyike??? si uungwana kulijadir jeshi letu tukufu kwa nadharia potofu.
  9. mpine peter

    Angalizo UKAWA: Acheni hii Dilly Dallying Kutangaza Jina la Mgombea wenu! Toeni Jina, Vinginevyo...!

    huu uongo na chelewachelewa ya ukawa hata wakipewa dhamana watatufanyia hivihivi watanzania,, waweke mambo yao hadharani kama hawana wa kumsimamisha n bora wakae kimya kuliko kutupiga danadana.
Back
Top Bottom