Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi..
Anyways sema shida yako ni nini hapo labda?
Hawa ndio wale wanakomaa uko eti Wanaume wanapenda Sex. Ukifatilia utakuta ndio kitu pekee wanatoa kwa mwanaume sasa kwanini tusipende? Ubaya anataka aingie na akili hiyo hiyo kwa ndoa.
Siku mume mambo yakibadilika inakuwa tabu hana akili za kutafuta.
Nenda kasome...
Secret Covenant by John D. Rockerfeller
Mlisha ambiwa hamna cha bure duniani.
Nianze na wewe mleta mada. Unaweza mpa mtu hela za bure bure? Stuka amka uliko lala
Kwa mwezi leseni yake sio chini ya M 1 hamna hamna weka 800k then mshahara wake nao cheza humo humo kwa kwezi 750k - 1 M tena NET
So on average cheza kwa 1.5 - 2M
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.