Recent content by mnoel

  1. mnoel

    msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  2. mnoel

    msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  3. mnoel

    Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

    we unazingua...wewe siyo kidato cha nne... Muongo ....Kidato cha nne wanajua kuingiza tu nyimbo kwenye pc, hawajui kingne... may be na kuweka na kutoa movie. Sasa wewe una uwezo wa kufanya kazi vzuri kwa computer... unatudanganya mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mnoel

    Swali la kujikumbusha...Kwa wenye majibu.

    Naomba kuuliza, hivi Dr. Ulimboka yuko wapi???? Kwa wenyeajibu tafadhali...Maana toka apone hajasikika mpaka wa leo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mnoel

    Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    Hilo linaenda Chato very soon Wakuu. We don have to worry, hata likiwa baya.
  6. mnoel

    Tafuta kazi, kuwa busy.

    Kuna exceptions mkuu. Ila nazungumzia majority...Sina cha kufanya. Nikikosa bundle ndo nachanganyikiwa... Nakuwa mpweke. Hii torture ni hatari.
  7. mnoel

    Tafuta kazi, kuwa busy.

    Ukiona unaamka Asubuh, Simu yako iko full charge... inafika sa 6... charge imeisha. Tafuta kazi bro, ishara sio nzuri hiyo. Naongea maana ndio experience ninayopitia sasa. This is very serious, lifanyiwe kazi wakuu.
  8. mnoel

    Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA

    Hii inaitwa Demolition.. sio demotion. CG mpaka katibu tawala.?
  9. mnoel

    Wataalamu wa Madini, msaada..Jina la madini haya

    Hayo ni mawe mzee. Kokoto za zege.
  10. mnoel

    Tusichoelewa kuhusu Homa ya Dengue

    HKL mna jukwaa lenu. Uende kujifunza lugha . Hapa tunataka majibu ya dengue tu.
Back
Top Bottom