Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI?
Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda.
Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a kuifahamu historia ya jimbo lao la uwakilishi
Leo nimeona ipo haja ya kubadili mfumo wa kuwapata...
SIASA NA UHALISIA WAKE KWA MWANASIASA
Habari za jioni watanzania wenzangu na hongereni kwa mijadala myema a kisisa na kiafya hasa wakati huu wa COVID19
Siasa maana yake ni mfumo huru wa kumpata mtawaliwa au mtawaliwa kwa njia ya makubaliano au ya kutokukubaliana na huusisha watu wa jamii moja...
Kwa mfumo huu wa elimu usiowafanya watu kufikiri ni vigumu sana kumwelewesha mru umuhimu wa kiswahili akuelewe.
Vijana wanashindana kukariri masomo na kuyatapika kwenye mitihani na mbobezi basi ndio huwa kinara. Tunasahau kuwa elimu inatakiwa ikukomboe kifikra, kiufanisi na hata kimahusiano...
Kwa mfumo huu wa elimu usiowafanya watu kufikiri ni vigumu sana kumwelewesha mru umuhimu wa kiswahili akuelewe.
Vijana wanashindana kukariri masomo na kuyatapika kwenye mitihani na mbobezi basi ndio huwa kinara. Tunasahau kuwa elimu inatakiwa ikukomboe kifikra, kiufanisi na hata kimahusiano...
Wana jamvi habarini za muda huu...
Naomba niweke dukuduku langu kwa siasa za Tanzania za sasa ambazo zimeanza kunifanya nijitathmini kiimani.
Kama wengi mnafuatilia mtaona kuna kauli nyingi za kumnenea kiongozi wetu mambo asiyoyanena ama yatakayomfanya aikufuru imani yake. Hii ni hasa baada ya...
Japo nikiri nimeshindwa kumwelewa aliposema haya alimaanisha nini........
#NUKUU "Hatuwezi kugombana na kuchukiana kwasababu ya Kuhama vyama na wala tusikubali kubaguliwa hivyo, sisi ni Watanzania Kwanza.Lakini binafsi bado naamini Mabadiliko ya kweli yatatoka nje ya CCM", - Edward Lowassa...
Mtu mzima kuonekana unayumba kiimani na msimamo ni changamoto ambayo inaweza kuzorotesha heshima yako kwa jamii.
Mh. Lowasa, Edward N. alikuwa mwachama wa CCM tangu enzi zake za uchipukizi mpaka kufikia kupata nafasi mbalimbali za kiutawala kama uwaziri na hata kuwa Waziri mkuu wa JMT. Mimi na...
Mtu mzima kuonekana unayumba kiimani na msimamo ni changamoto ambayo inaweza kuzorotesha heshima yako kwa jamii.
Mh. Lowasa, Edward N. alikuwa mwachama wa CCM tangu enzi zake za uchipukizi mpaka kufikia kupata nafasi mbalimbali za kiutawala kama uwaziri na hata kuwa Waziri mkuu wa JMT. Mimi na...
Usipende kukariri ndugu....
Wanasheria wanaosumbua kenya mfano James Agrey Orengo ni wasomi wa kitivo cha sheria UDSM sasa sijui unafahamu kama Profesa Kabudi ni mkufunzi wa sheria mbobezi pale UDSM school of Law
Nimesoma ujumbe wako kisha nikatafakari nikatambua wewe ni mtu wa namna gani..............
Elewa kuwa sio kila anayetamka namba ni mwanamahesabu pengie anatamka ili kujiridhisha kwamba naye anaelewa kusoma namba vyema.
Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu.
Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?
Hawa KDF nawaona wamezingatia zaidi usalama wa uelekeo mmoja sasa sifahamu pande zingine maadui wangekuwako nini kingetokea?
kwani nani aliyewaaminisha kuwa upande huo tu ndiko kuna maadu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.