Recent content by MJUMBE WA AMANI

  1. MJUMBE WA AMANI

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    Asante mkuu kwa kunijulisha.Nimepona ila nashukuru kwa taarifa yako, ikitokea shida nitakutafuta.
  2. MJUMBE WA AMANI

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    Asante Mkuu, kweli jf ni kisima cha mema.Namshukuru Mungu nimeshapona.
  3. MJUMBE WA AMANI

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    Asante Mkuu kwa ushauri wako, nitautilia maanani.
  4. MJUMBE WA AMANI

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    Ndugu zangu wajumbe wa jukwaa salamu! Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya tumbo na mgongo pamoja na miguu kuwaka moto baada ya period.Kila nikienda hospitali kumwona Doctor naambulia painkiller na neurobion na kuambiwa tatizo langu litaisha.Cha kunishangaza hali inajirudia rudia.Sasa tatizo...
  5. MJUMBE WA AMANI

    Kwanini upo single?

    Hamna cha mechi wala chochote.
  6. MJUMBE WA AMANI

    Kwanini upo single?

    Sii kwamba sitaki mechi za ugenini tu, yaani ukaribu wowote na mwanaume sipendi wala kutaka.
  7. MJUMBE WA AMANI

    I hate my wife

    Wanawake sijui tulikosea wapi jamani,,,,yaani unampenda mtu kwa moyo wote kumbe yeye anakuchukulia for granted namna hii? seriously?....Pole sana Mkuu kwa unayopitia, ila zungumza na mkeo wa uwazi na siyo kucheat.
  8. MJUMBE WA AMANI

    Kwanini upo single?

    Me nipo single kwa sababu za kutendwa, nimejikuta nayachukia sana mapenzi.Nafurahia sana maisha ya usingle.
  9. MJUMBE WA AMANI

    Mwana JF share weakness yako

    Weakness yangu ni kutokuwa tayari kushauriwa.Napenda kufanya maamuzi peke yangu bila kushurutishwa.Mtu akijaribu kunishauri sii jambo la ajabu kuishia kwenye ugomvi na misuto.
  10. MJUMBE WA AMANI

    Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Ni kweli, ila kipofu asimwongoze kipofu mwenzke.
  11. MJUMBE WA AMANI

    Ndoto ya kuota unakimbizwa na ng'ombe ama ndama ina maana gani?

    Ndoto hazina ukweli wowote.Kama zingekuwa na ikweli basi leo Rais angekuwa ni EL. Wakati wa kampeni niliota EL anaapishwa kuwa rais zaid ya mara tisa ila hakuwa. Sio mimi tu, hata rafiki zangu wanaotaga mambo na hayatoke labda kwa probability tu...Mkuu usiamini ndoto.
  12. MJUMBE WA AMANI

    Ushauri juu ya mtu kuachwa na mpenzi wake

    Mkuu hakuna anayeyajua mapenzi na asikudanganye mtu.Kama ukipata hayo makala jifunze lakini usiyatilie maanani sana...Writers of those journals, most of them are losers of the highest order as long as Love is concerned.
  13. MJUMBE WA AMANI

    Mwanaume hasifiwi kuwa na wanawake wengi

    Mkuu umetoa ushauri mzuri. Lakini hiki kizazi kinavyopenda mambo ya upotoshaji sidhani kama watakuelewa.
Back
Top Bottom