Recent content by Missandei

  1. Missandei

    Natafuta Wataalam, Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi

    nipeni kazi wakuu nina shahada ya kilimo cha mbogamboga na matunda
  2. Missandei

    Natafuta Wataalam, Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi

    tatizo sio ukungu ni wadudu. Hao wadudu ndiyo wanasababisha huo ukungu. Ukitibu ukungu ukaacha wadudu ambao ndo chanzo tatizo haliwezi kuisha
  3. Missandei

    Interview ya Afisa Kilimo nitarajie kuulizwa nini?

    Amani kwenu wakuu nahitaji msaada mliowahi kuhudhuria interview ya afisa kilimo mwenye shahada utumishi maswali huwa yanakujaje wakuu.
  4. Missandei

    Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    ndiyo wanapataga fungi
  5. Missandei

    Naombeni jina la mtoto wa kike

    la kiislam shenina
  6. Missandei

    Naombeni jina la mtoto wa kike

    aubriel, daisy
  7. Missandei

    Hii shipping fee vipi mbona sijaielewa?

    siyo kwamba kutumia hao agent mzigo unatakiwa uwe mkubwa??
Back
Top Bottom