Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

Hongera mkuu.
Naona kama bei ni kubwa sana wakati mwaloni Dagaa wabichi ndoo imejaa ni 9000/=-hadi 11000/.
Sijui kwanini biashara za mitandaoni bongo huwa ni kichaa namna hii.
78000/? Umemfikiria atakayelangua atauzaje?
Mwalo gani huo mkuu?!
 
Hongera mkuu.
Naona kama bei ni kubwa sana wakati mwaloni Dagaa wabichi ndoo imejaa ni 9000/=-hadi 11000/.
Sijui kwanini biashara za mitandaoni bongo huwa ni kichaa namna hii.
78000/? Umemfikiria atakayelangua atauzaje?
Bei za hao dagaa wabichi hutegemeana na mwezi,wakati wa kiza namvua ndio huwa wengi but ktk kipindi hicho bado ndoo inaweza kuwa kati ya 20K-30K.Wakati hamna mvua ndoo huenda mpaka 50K.
Pia kutumia mafuta mengi au machache itategemwana na aina ya wateja ulionao,kama ni wale wa kuwavujisha tu maji na kuwakaanga hutumia mafuta mengi-ndoo moja unaweza maliza mafuta ya lita 5-7.Kama utataka wakauke kidogo kwa masaa angalau 5 watatumia mafuta wasting but watotoa dagaa wengi pia.
 
Kaka, bei uloitaja sio yenyewe kabisa, halafu Hawa dagaa wanatumia mafuta mengi Sana, bado kuni, viungo, waoshaji, wachambuaji, anauekaanga, kubeba mzigo mpaka stand na kusafirisha! Faida hapo sio kubwa Kama unavofikiri, Ni vile dadayako nmeamua nijiajiri baada ya kukosa ajira. Karibu sana
Asante mkuu. Pambana hapo kwenye mafuta nimekuelewa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom