Recent content by Mbomozo

  1. Mbomozo

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Duuh ndio maana mimi siweki password kwenye simu mmoja kati ya nilizonazo maake huwezi jua uko hoi na ikahitajika watu wako wa karibu waitwe 🙏🙏
  2. Mbomozo

    Wakuu hata kazi ya bure hamna?

    Mungu akutangulie 🙏
  3. Mbomozo

    Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Tofauti na mke wangy mm siwez kumiliki mwanamke mwingine hapa i mean mchepuko but napiga one time nyingi sana ili niwe safe. Mwanaume wengi now days tunanunua Telegram na social media kibao kwa hasara ya kuivunja ndoa maake hawa viumbe huwa hawaelewi hata kidgo mara sms mara call night kali au...
  4. Mbomozo

    Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Kijana ni maamuzi yako by the way mimi mke wangu nimemuoa akiwa na watoto 2 wote wakubwa tu.
  5. Mbomozo

    Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

    contract termination letter kutoka kwa feisal kwenye Yanga na TFF sasa kama hii sio makeup Propaganda Utopolo itakuwa imepoteza mchezaji muhimu sana kwao…….[emoji736]
  6. Mbomozo

    Wanajeshi na Askari mnatumia nini kuzuia ndevu na vipele?

    Ukimaliza kunyoa fanyiwa scrub hutakuja kuona hicho kipele hata moja na mm ilikuwa ivyo mwanzoni
  7. Mbomozo

    Ule utu wa kujaliana au wa kuishi kijamaa kama zamani; umepotelea wapi?

    Hali ya maisha inatufanya kuwa mioyo migumu na akili za wanyama. Mtu anahangaika daily kukudondosha au watoto wako wapigwe kimaendeleo hichi ndicho kinapandwa mioyoni mwa vizazi vyetu, ushirikina umeshamiri.
  8. Mbomozo

    Kukojoa damu

    Yawezekana ni Gonorrhea GONO kwaio nenda kapigwe sindano ya shimoni ukimaliza ivyo akili itaingia kuwa ni muhimu kutumia kinga
  9. Mbomozo

    Wanaume mliooa acheni ulafi, ndiyo maana mnajifia mapema!

    Mimi nikadhani ulafi wa papuchi kumbe msosi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Mbomozo

    Hatimaye baada ya miezi 8 nimepokea Tsh 46000 kutoka Sagapoll

    Mimi ilinichukua 3 months kupata hela ya kwanza na Miezi 6 kupata ya pili so ukijibu in accuracy na precision utapata survey zenye points Kibao ila zinakula tym
  11. Mbomozo

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Kataa kitu kwa fact mdg wangu mkataba Wa mafunzo unakuambiaje mean au unasaini bila kusoma
  12. Mbomozo

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    To clarify things, Nyote mtasoma madodoso yote OK ila watakaojaza dodoso la jamii ni wasimamizi Wa maudhui Bcoz wao Hawatajaza Madodoso mengine kazi yao itakuwa kugawa EA na kusimamia from 23/8 to 3/9/2022
  13. Mbomozo

    Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Hio outlet ya,system ya nida iliyokuwa inatumika kutoa online copy haipo kwa sasa (Hadharani) meaning public ilikuwepo kipindi kile Mchakato wa kujiandisha unaanza bcoz NIDA ilikuwa haijawekwa business oriented mno Kwa waliofanikiwa kupata online copy wao walibahatika. Kwasasa hizo online copy...
Back
Top Bottom