Recent content by mbojeinc

  1. M

    Habari nzuri kwa wapenzi wa mpira!!

    Unaweza kuangalia game online kupitia FirstRow Free Live Sports Streams on your PC, Live Football Stream, Myp2p, Live MLB, Live NBA, Live NHL and more... chagua link upate uhondo.
  2. M

    Hivi ni kweli Mzamiri Katunzi Kang'olewa UUME na Wachina?

    Kamuulize demu wake au mkewe kama anaye!!
  3. M

    Nataka kuanzisha kampuni ya uchapishaji..!

    jaribu pia kuwatembelea wanaofanya shughuli hiyo nadhani watakusaidia kwa uzuri zaidi.
  4. M

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    <br>&nbsp;<br>Download utorent au vuze(hizi ni software) alafu uinstal kwenye kompyuta, baada ya hapo fungua google.com andika kitu unachokitaka malizia na neno torrent then search. mfano: the lincoln lawyer torrent, &nbsp;Jay-z and kanye west-watch the throne torrent, n.k.<br><br>utapo search...
  5. M

    RAM 4GB Hard Disk 300GB

    wacheki mitsumi wapo SAMORA HOUSE!!
  6. M

    MSAADA KUHUSU UBORA NA UIMARA WA Hyundai Trajet KWA TZ

    mkuu upo fiti mfukoni maana ngoma ina cc2700!!
  7. M

    kuhusu tigo

    nilitumia dashboard ya tigo na software haina tatizo kwa sababu nikitumia line yangu ya tigo ninayotumia kwenye simu ina connect!*
  8. M

    kuhusu tigo

    step ipi hiyo mkuu maana hata hao customer care wameshindwa kunipa msaada mpaka nikaenda mlimani city 3 july wakaniambia watanijulisha lakini wapi mpaka leo kimya!!
  9. M

    kuhusu tigo

    nimenunua line mpya ya tigo iliyosajiliwa nimeiwekea kifurushi cha wiki nikiiweka kwenye modem na ku connect inaniambia connection terminated. Tatizo kama hili linasababishwa na nini?
  10. M

    mtaalamu wa website design na graphics anatafutwa

    natafuta mtu mjuvi wa website design na graphics hapa dar anipe darasa!!
  11. M

    Jinsi ya ku- unlock modem mpya za TIGO- (zilizoshindikana)

    JARIBU HII!! .:: How to Unlock Vodafone 3G USB Stick K3565 Kwa huawei modem
Back
Top Bottom