sijawahi tumia modem ya tigo lakini umejaribu kui uninstall kisha install upyastep ipi hiyo mkuu maana hata hao customer care wameshindwa kunipa msaada mpaka nikaenda mlimani city 3 july wakaniambia watanijulisha lakini wapi mpaka leo kimya!!
Umenunua line ya tigo ya kawaida au ya moderm maana ziko za aina mbili. Ukinunua ya kawaida inakubali lakini inakula sana pesa walivyonishauri mimi sijajaribu. So wakanambia ninunue line ya moderm na ninajiunga na kifurushi cha 45,000 Tshs cha mwezi kwa raha msitarehe haina shida kabisa
mhh elfu arobaini na tano kumbe tigo wanaviwango vya juu eheee!pole zakoUmenunua line ya tigo ya kawaida au ya moderm maana ziko za aina mbili. Ukinunua ya kawaida inakubali lakini inakula sana pesa walivyonishauri mimi sijajaribu. So wakanambia ninunue line ya moderm na ninajiunga na kifurushi cha 45,000 Tshs cha mwezi kwa raha msitarehe haina shida kabisa
Mkuu, hiyo ni unlimited, na speed yake ni ya kasi mno.mhh elfu arobaini na tano kumbe tigo wanaviwango vya juu eheee!pole zako
samahani kwa kuuliza...Ila unauhakika kuwa ni unlimited au 2 wanatoa gb nyingi kdg? Maana cjackia tigo wakiwa na package ya unlimited!Mkuu, hiyo ni unlimited, na speed yake ni ya kasi mno.