Recent content by mbalaga

  1. M

    Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    mwambie akutafsilie maana yake.Akishindwa kojolea mkojo
  2. M

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Pole Cai.Hamna jema na hubebeki .Mara mara wazee, Mara wanakaaa tu ofisini!!!mara oooh wanashindana na wengine mara oooh wawndw wakishikw aoko la Adrika mashariki.Huwezi kumridhisha ka mtu .Mdomo mali yako endelea kuponda uana mwisho hayo.
  3. M

    TTCL waja na TTCL pesa, nawapongeza kwa hatua hii

    Poleni sana msiokuwa na ufahamu wa Kutosha kuhusu TTCL..Right mgelijua hayo makampuni mmayoyasfia na kuiponda TTCL Yananunua huduma zake TTCL ndio mnauziwa nyinyi!!Kama aivyo ongekuwa imekufa. Tangu mmeanza kusema inakufa nileo!!!???Mnasahau viongozi wenu walioshika makampuni ya simu kwa kuwa...
  4. M

    Zijue Sifa na Majukumu ya Mkuu wa Mkoa kisheria hapa Tanzania

    Si wanalondana ili wasimwagiane unga!Kairuki kaanza na kuwakinga viongozi iliili kumpamba raisi asimwage unga.Angela muige nape zingatieni haki na ukweli jehanamu itawahisu na mnakaa makanisani viti vya mbele??!! Ajabu sana
  5. M

    Ushauri: TTCL 4G vs Airtel 'Wingo', ipi bora?

    Riwa chukua ya TTCL iko bomba sana inaitwa MiFi , mimi natumia na familia yangu , ni ya watu kumi lakini akitokea wa 11 basi achomeke kwenye computer hivyo kufanya idadi ya watumiaji kuwa 11. ni sh. 150,000 na line ya sh 5000 pia utapata ofa ya GB 5 kila mwezi kwa muda wa miezi mitatu na bando...
  6. M

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Afanya Mazungumzo Na Rais Tuong Wa Vietnam Leo

    kwakweli huyu Rais mstaafu aliiacha na kuipeeka nchi pabaya, nia yao ilikuwa ni kuiua TTCL , si mambo ya ajabu sana hayo?Unaipalilia kampuni ya nje kwa maslahi binafsi wakati kampuni ya uzalendo huitahamini???!!!!!
  7. M

    Mazingira Initiative Group

    kwani hawakuweka anuani yao?jaribu kuangalia mtandaoni
  8. M

    Hili laweza kuwa suluhisho la ukosefu wa ajira

    tumechoka na mabo ya pm, hapa ni uwazi tu ndugu , huwezi kaa kimya soma ya wenzako
  9. M

    Ni dr. gani Tanzania anatoa huduma ya IVF (kuwawekea wanandoa mtoto?)

    Nimetafuta mtoto mimi na mume wamgu muda mrefu sasa tumeamua kuwekewa mtoto kitaalamu lakini hatujui huduma hii inapataikana wapi na ni sh ngapi? uwezo wa kwenda India na Ulaya hatuna , mwenye taarifa atujuze tafadhali maana tunapendana na vipimo viko ok kwetu sote wawili
  10. M

    Ttcl na mtambo mpya waziri wa mawasiliano upo hapo au mnaogopana ?

    Jamani TTCL tumechoka na habari zet]nu za ajabu ,Tataizo la internet litaisha lini? Huyo BOSI MKUU kwanini asiende vyombo vya habari kuelezea kuna shida gani?Kila siku tunapiga simu wanasema tatizo linashughulukiwa ,tunaomba taarifa rasmi kwenye vyombo vya habari ,kwani hawaoni makampuni ya...
Back
Top Bottom