Recent content by mathias chambitwe

  1. M

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Kishapu IPO shinyanga kama una macho mekundu haya
  2. M

    Ajira za Walimu wapya ngoma droo hakuna cha UDSM wala SEKOMU

    Hivi sekomu ni chuo au dawa ya kienyeji ni chuo cha ngapi kwa ubora afrika
  3. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kinyesi si mwiba ila ukikikanyaga lazima uchechemee
  4. M

    RASMI USHOGA: Shinikizo kwa JK

    Naunga mkono
  5. M

    Nahisi naibiwa-mrejesho

    Ulichokifanya ni sahihi. Nadhani hatarudia na pia jitahidi kuwa naye karibu umbali wenu yaweza kuwa sababu ya maharamia kuingia. Be serious to rescue your marriage. Thank u been strong
  6. M

    Big Results Now" yaonekana

    Kwa nchi kama Tanzania matokeo makubwa sasa yameonekana. Nakubaliana kbs na usemi huo. Wanafunzi wote kufaulu Tanzania inawezekana
  7. M

    Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

    Ni kukabidhi suala kwa mungu
  8. M

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Aise wasira anatisha
  9. M

    Ndoa ijenge katika misingi ya Mungu

    Wanandoa wemzangu tujaribuni kufanya Lila jambo ktk kumtegemea Mungu
  10. M

    Udom udom udom

    Udom is the best
  11. M

    Tuwe wakweli: Diploma vs Degree kwenye ualimu

    Suala la uwezo Wa MTU ni individual case isitoshe MTU akiandaliwa kisanii nae atakuwa msanii watoke wapi walimu wazuri halo ufaulu f2 ishirini? Hui ni VODA faster
Back
Top Bottom